Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Ukimwambia mwanaume sitaki unitafute wala unitext kwa sauti strong na ya kistaarabu ataacha, akiendelea una haki ya kumpeleka kwenye vyombo husika (MAANA ATAKUWA KICHAA) - TATIZO LAKO UNA ENJOY WAKUPIGIE, UNAJISIKIA MZURI HALAFU UNAKUJA KUTUHADAA HAPA, UNAKEREKA KUONGEA NA SIMU? THAT MEANS UMEPOKEA? HAUNA UHURU WA KUKATA KAMA HUTAKI KUONGEA NA MTU?

HUU NDIO UJINGA WA WANAWAKE AMBAO WANAULETA MPAKA KWENYE NDOA, NA AKILI HUWAKAA SAWA WANAPOACHIKA
Naona umeamua kunipigia na promo kabisa uzur mm nimeshaolewa hapo kwenye uzi wangu hakuna sehem nimejisifia zaid ya kuongea na wanyonge wangu ila asante hata hivyo
 
Naona umeamua kunipigia na promo kabisa uzur mm nimeshaolewa hapo kwenye uzi wangu hakuna sehem nimejisifia zaid ya kuongea na wanyonge wangu ila asante hata hivyo

YANI UMEOLEWA? UNAPOKEA SIMU ZA WANAUME, WENGI, WANAKUTONGOZA, WASUMBUFU, UNAWAAMBIA HAPANA, WANAKUSUMBUA, WANAKUKERA KWENYE SIMU???????

SERIOULSY? KWELI, YANI HAWA NDO WAKE ZETU HAWA? KWELI HAWA NDO WANAWAKE WALIOOLEWA, NDIVYO WANAVYO ARGUE? SERIOUSLY? KABISA? NAMWONEA HURUMA BROTHER!
 
Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.

Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.

Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.

Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.

Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.

Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.

Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.

Mrs Jr.
m-reject
 
Naona umeamua kunipigia na promo kabisa uzur mm nimeshaolewa hapo kwenye uzi wangu hakuna sehem nimejisifia zaid ya kuongea na wanyonge wangu ila asante hata hivyo
Na wewe shem itafika siku ntakuchoka na sifa zako leo nakuekea kiporo siku nyingine nakupa makavu live.
 
YANI UMEOLEWA? UNAPOKEA SIMU ZA WANAUME, WENGI, WANAKUTONGOZA, WASUMBUFU, UNAWAAMBIA HAPANA, WANAKUSUMBUA, WANAKUKERA KWENYE SIMU???????

SERIOULSY? KWELI, YANI HAWA NDO WAKE ZETU HAWA? KWELI HAWA NDO WANAWAKE WALIOOLEWA, NDIVYO WANAVYO ARGUE? SERIOUSLY? KABISA? NAMWONEA HURUMA BROTHER!
Mwanamke kutongozwa kawaida yawezekana mke wako anapata sana shida kuwa na mwanaume kama wewe
 
Back
Top Bottom