Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeamua kunipigia na promo kabisa uzur mm nimeshaolewa hapo kwenye uzi wangu hakuna sehem nimejisifia zaid ya kuongea na wanyonge wangu ila asante hata hivyoUkimwambia mwanaume sitaki unitafute wala unitext kwa sauti strong na ya kistaarabu ataacha, akiendelea una haki ya kumpeleka kwenye vyombo husika (MAANA ATAKUWA KICHAA) - TATIZO LAKO UNA ENJOY WAKUPIGIE, UNAJISIKIA MZURI HALAFU UNAKUJA KUTUHADAA HAPA, UNAKEREKA KUONGEA NA SIMU? THAT MEANS UMEPOKEA? HAUNA UHURU WA KUKATA KAMA HUTAKI KUONGEA NA MTU?
HUU NDIO UJINGA WA WANAWAKE AMBAO WANAULETA MPAKA KWENYE NDOA, NA AKILI HUWAKAA SAWA WANAPOACHIKA
Naona umeamua kunipigia na promo kabisa uzur mm nimeshaolewa hapo kwenye uzi wangu hakuna sehem nimejisifia zaid ya kuongea na wanyonge wangu ila asante hata hivyo
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni
😀😀Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aisee
m-rejectYani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
Kwani amekwambia yeye ni ATM?hakuna kitu kinakera kama mwanaume anakuambia anakupenda halaf wala halikutumii pesa my friend unajisumbua tu mwanaume unatakiwa ushawishi
ndio wawapigie ambao wanawatumia hizo pesaKwani amekwambia yeye ni ATM?
Na wewe shem itafika siku ntakuchoka na sifa zako leo nakuekea kiporo siku nyingine nakupa makavu live.Naona umeamua kunipigia na promo kabisa uzur mm nimeshaolewa hapo kwenye uzi wangu hakuna sehem nimejisifia zaid ya kuongea na wanyonge wangu ila asante hata hivyo
Leo nakuekea kiporo, nasubiri tukutane Mabibo.Nipe makavu hayo tuone na mm nikupe makavu bila kukwepesha
Mwanamke kutongozwa kawaida yawezekana mke wako anapata sana shida kuwa na mwanaume kama weweYANI UMEOLEWA? UNAPOKEA SIMU ZA WANAUME, WENGI, WANAKUTONGOZA, WASUMBUFU, UNAWAAMBIA HAPANA, WANAKUSUMBUA, WANAKUKERA KWENYE SIMU???????
SERIOULSY? KWELI, YANI HAWA NDO WAKE ZETU HAWA? KWELI HAWA NDO WANAWAKE WALIOOLEWA, NDIVYO WANAVYO ARGUE? SERIOUSLY? KABISA? NAMWONEA HURUMA BROTHER!