Kuongelea Gari Used Toyota Crown ndio gari yangu namba moja kwa kupenda

Kuongelea Gari Used Toyota Crown ndio gari yangu namba moja kwa kupenda

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma.

Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
11.jpg
13.jpg
 
Hahaha hakuna Gari isiyokunywa, vinapishana kidogo Sana na gari zingine
Nina mwanangu anayo hiyo. Nilimshauri aanze kwanza hata na premio, akang'ang'ania crown. Sasa hivi anaenda kazini na bodaboda. Gari anapiga nayo misele wikiend tukienda viwanja.
 
Nina mwanangu anayo hiyo. Nilimshauri aanze kwanza hata na premio, akang'ang'ania crown. Sasa hivi anaenda kazini na bodaboda. Gari anapiga nayo misele wikiend tukienda viwanja.
Kama ni Gari yako ya kwanza ni Bora uanze na best economy car, vinginevyo itakutatisha tamaa na utakosa Raha ya kumilki gari
 
Nunua ist tu ..kumbuka nchi ipo chini ya wapumbavu wa ccm ..lita ya wese kufika sh 6000 ni swala la muda tu.
Tutapambana hivyo hivyo lakini nikipanda gari nijisikie Niko kwenye gari ya maana
 
Back
Top Bottom