Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Gari ya Ndoto yanguFormati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma.
Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota CrownView attachment 3594945View attachment 3594946
May be for some peopleEverything come an Go
Hii Levo ya Kina Mwijaku
Hahaha hakuna Gari isiyokunywa, vinapishana kidogo Sana na gari zingineInakunywa mafuta kimtindo
Average fuel consumption za Magari Mengi haya Used yanapiishana kidogo sanaInakunywa mafuta kimtindo
Nina mwanangu anayo hiyo. Nilimshauri aanze kwanza hata na premio, akang'ang'ania crown. Sasa hivi anaenda kazini na bodaboda. Gari anapiga nayo misele wikiend tukienda viwanja.Hahaha hakuna Gari isiyokunywa, vinapishana kidogo Sana na gari zingine
Hahaha premio f ya kujibu, unyamwezi fulani hiviNina mwanangu anayo hiyo. Nilimshauri aanze kwanza hata na premio, akang'ang'ania crown. Sasa hivi anaenda kazini na bodaboda. Gari anapiga nayo misele wikiend tukienda viwanja.
Hahaha Premio na Crown vinaachana? May be some few Km per LitreNina mwanangu anayo hiyo. Nilimshauri aanze kwanza hata na premio, akang'ang'ania crown. Sasa hivi anaenda kazini na bodaboda. Gari anapiga nayo misele wikiend tukienda viwanja.
Kama ni Gari yako ya kwanza ni Bora uanze na best economy car, vinginevyo itakutatisha tamaa na utakosa Raha ya kumilki gariNina mwanangu anayo hiyo. Nilimshauri aanze kwanza hata na premio, akang'ang'ania crown. Sasa hivi anaenda kazini na bodaboda. Gari anapiga nayo misele wikiend tukienda viwanja.
Nunua ist tu ..kumbuka nchi ipo chini ya wapumbavu wa ccm ..lita ya wese kufika sh 6000 ni swala la muda tu.Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma.
Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota CrownView attachment 3594945View attachment 3594946
Tutapambana hivyo hivyo lakini nikipanda gari nijisikie Niko kwenye gari ya maanaNunua ist tu ..kumbuka nchi ipo chini ya wapumbavu wa ccm ..lita ya wese kufika sh 6000 ni swala la muda tu.
Nyingine huwa nasikia zinanusa mafuta....wabongo bana huwa tuna maneno yetu😁Hahaha hakuna Gari isiyokunywa, vinapishana kidogo Sana na gari zingine