Kuongeza Mwili: Muongozo wa Mazoezi na lishe (Gym workout & Diet)

Umeandika vitu vya msingi sana Mkuu, kimsingi mwili una mazoezi 500 kidogo, gym kuna aina za mazoezi, weight type, position nk 500 kidogo na mwili wa binadamu una misuli mbalimbali ningeandika yote uzi ulibidi umalize page 3 nimeandika mimi tu.

Ila nimelenga wale ambao hawataki ingia deep sana bali wanataka some changes tu ndio maana nimeandika some basic part, zoezi kama la kujaza miguu ni Safari sio ndogo especially kwa ordinary people.

Mfano nzuri wa transformation kama niliyoweka kwenye picha ni simple.
 
Kuna jamaa nimemkuta gym anapiga zile vyuma za kurudisha nyuma ila ana kitambi. It seems kale kakitambi kake anakapenda kajaa vizuri ila kitambi kipo. Kwa uzoefu wake gym angeshapiga zoezi la kukata tumbo.
 
Tia neno mkuu
Unless kama mtu anatumia supplements lakini akifanya kila kilichoandikwa pale kila siku bila kukosa kwa sets zinazotakiwa hatajaza mwili ila ataukata na misuli itadumaa kwakua haipati muda wa kupumzika. Kama uko bulked it's fine ila mwembamba hapana.
 
Kuna jamaa nimemkuta gym anapiga zile vyuma za kurudisha nyuma ila ana kitambi. It seems kale kakitambi kake anakapenda kajaa vizuri ila kitambi kipo. Kwa uzoefu wake gym angeshapiga zoezi la kukata tumbo.
Kukata tumbo siyo zoezi jepesi kihivyo. Linauma na linachukua muda kuleta majibu plus kua gym muda mrefu haimaanishi anajua nini cha kufanya kwa 100%
 
Kweli mkuu, kujenga mguu ni shughuli sana. Pamoja sana.
 
Unafanya haya mazoezi ndani ya siku moja?
Haha kwasasa nipo napambana na maisha ndio mazoezi yangu aisee.

Mlolongo huo sio kwa mpigo ni naanza na namba moja nakuja pili hivyo hivyo ila Kanuni yangu Sifanyi mazoezi kama ya jogging endapo nina slim body kwanza naijaza then jogging naenda tafuta punzi.
 
Mkuu kwanini umeacha?? Maana mazoezi yakikuingia mwilini yanakua na uraibu fulani hivi.....!
Mishe zinanidisturb.

Ila nikitaka kutrain hua natrain kwa mtindo wa 'Tabata Protocol' so hua nagain faster.
 
Ukifanya mazoezi makali kupita kiasi, mtetemo lazima utakutana nao, ila kwa mazoezi ya kawaida tu ambayo ni kwaajili ya kujenga mwili huwa mtetemo mara chache sana.

Nimefanya shoulin kung fu, mazoezi yake si ya kitoto na yale yapo kukukomaza mwili na kujenga mwili imara na siyo mwili mkubwa au mdogo, ndiyo maana unaweza kutana na master kimbaombao kamwili kadogo ila akikugusa tu kidogo utahisi umepigwa chuma.

Kwenye kujenga mwili, lazima kuzingatia full body workout pamoja na kuwa na target husika yaani kupunguza au kuongeza mwili, tofauti na hapo jiandae kuwa na mwili mkubwa juu chini unakuwa mwembamba hata shape haieleweki.

Kunyanyua vyuma huwa ni vizuri ila ukianza jitahidi usiache, maana ukiacha kitu cha kwanza lazima utaugua na baadae shape kuvurugika, so ukiingia ingia miguu yote.

Napendelea sana mazoezi ya asili huwa yanajenga mwili vizuri sana na siyo kujaza nyama tu tatizo huwa yanataka uvumilivu na mwanaume shape nzuri ni ya kukata mtu akipitisha mkono mwilini anakutana na mabondemabonde yaliyokomaa haswa na six pack zinahesabika.

Mazoezi kwa afya, tufanye mazoezi
 
Nilifikiri huo moto unauwasha kwa siku moja. Good luck
 
Kwamba ukiacha chuma unaugua?

Mwaka wa 4 huu sijagusa chuma. Sijawahi umwa, nimekua tu slim.
 
Kunyanyua vyuma huwa ni vizuri ila ukianza jitahidi usiache, maana ukiacha kitu cha kwanza lazima utaugua na baadae shape kuvurugika, so ukiingia ingia miguu yote.
Sikubaliani na hiki nimepiga mazoezi nimeacha sijaugua, haya ni maneno ya vijiweni tafuta maarifa.
Napendelea sana mazoezi ya asili huwa yanajenga mwili vizuri sana na
Mazoezi ya asili ni yapi, Gym workout ni Artificial??
 
Hii safi sana
 
Watanzania endeleeni kufanya mazoezi ya kunyanduana... Haya ya gym hamtayaweza sababu muda mlio nao ni wa kutafuta mlo wa siku
 
Asante Sana mamy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…