Kuongeza Mwili: Muongozo wa Mazoezi na lishe (Gym workout & Diet)


Weighted vest ya kilo 10 inaweza kua inauzwa sh. Ngapi mkuu?
 
Mkuu unaweza nambia mazoezi yapi yanasaidia kukata mwili mm huwa sipendi mazoezi ya kujaza mwili.
 
Protein supplement vp zinasaidia
 
Your in need of personal trainer home workout.
 
Mi nina miaka 30 afu nina kilo 54, ya nini kujiumiza hapa natafuta mtaalamu wa ushauri nipige dawa za kichina mwili ujae afu ndio nianze mazoez ya kuutengeneza, ila sio kuumizana rariba nyiingi tutakuwa hatutafuti pesa sasa
 
Mi nina miaka 30 afu nina kilo 54, ya nini kujiumiza hapa natafuta mtaalamu wa ushauri nipige dawa za kichina mwili ujae afu ndio nianze mazoez ya kuutengeneza, ila sio kuumizana rariba nyiingi tutakuwa hatutafuti pesa sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa sisi wengine tunaotaka kunenepa tu bila mazoezi tunatakiwa kufanya vitu gani
 
Shuk
Shukrani ila sisi wakulima hamna haja ya mazoezi maana kushika chembe la mkono na la ng'ombe ni zoezi tosha kabisa
 
Haya mambo aisee ukiwajibika yanawezekana kabisaa.
Mfano ni yule mchekeshaji wa kenya Njugushi, jamaa alikua ni mwembamba mnooo, mpaka unajiuliza hivi kuna mtu mwembamba zaidi ya huyuuu..
Lakini saivi kajazia mwili kama sio yeye vile.
 
Ukiachilia mbali Kufanya Mazoezi Kuna Suppliment Mbalimbali ambazo husaidia kukuza na kufanya Mwili uonekane fiti mfano; Kifua kiwe poa( kwa Wanaume)

SUPPLIMENT ambazo Nimewahi kuzisikia Ni WEIGHT GAINER na WHEY PROTEIN

Ningependa kujua Tofaut Zake!!!!!

Zinatumiwaje!!!

Tofaut Zake zipoje!!

Faida pia Hasara Zake Zipoje!!!

Asanteni
 
Whybolic Ripped na 100 Gold standard Why.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Faida pia Hasara Zake Zipoje!!!
Kaa nazo mbali

Faida ni chache na niza muda mfupi, Madhara yake ni makubwa na ya muda mrefu.

Mwili uonekane fiti mfano; Kifua kiwe poa( kwa Wanaume)
Njia pekee ya kuufanya mwili uwe fit na uonekane fit, ni kuzingatia Taratibu za kiafya
  • Kula vizuri
  • Fanya mazoezi stahiki mara kwa mara.
  • Cheki afya yako na pata ushauri inapobidi.
  • Punguza matumizi ya vyakula vya hovyo na vinyaji vya hovyo, (ambapo kwa walio wengi aina hii ya vyakula/ vinywaji vya ovyo kwao huona ni ufahari na kuyapatia maisha kumbe wanajiangamiza na kudhorotesha afya zao taratiiibu)
  • Pendelea kunywa maji zaidi na kutumia matunda.

Hakika mwili utakuwa fit na utakuwa na mwonekano fi bila kujali jinsia kuwa wewe ne Me au KE



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…