Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mkuu unaifananisha China na vitu vya ajabu ajabu...? itake radhi ChinaKatika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600.
Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine...
Hawa jamaa ni waongo sana. Mtoto wa Nyoka ni Nyoka (CCM).
Hongera kwa mawazo mazuri mkuuHizi mada zinadhihirisha upumbavu wa watanzania. Nauli zimepandishwa na LATRA karibu mwezi mzima umepita na zimeanza kutumika juzi. Sasa ndiyo kuna majinga ndiyo yanaanza kujadili.
Mxiuuuuuu!!! Majitu kama haya yalikuwa bize kujadili ngono, umbea na stori za Simba na Yanga.
Uache kulinganisha China na nchi zenye uchumi wa ajabu, parcel tu yenye uzito wa maana kwenye ndege ni kuanzia $2 mpaka $5 na hiyo parcel itaenda kwa ndege, lkn nisikilizie hapa Bongo.Katika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600.
Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine. Si hivyo tu kutumia sarafu ya Tsh 500 kwenye nauli inapunguza kuombaomba chenji.
Hili swala halipo sawa viongozi tuwe tunawaza kabla ya kuanzisha vitu, mbona tumeishusha thamani Tsh 500 kiasi hicho? Ilitakiwa miatano iwe nauli ya kulipia mpaka mwisho wa kituo bila kujali umbali.
Ukienda nchi ya China, unazunguka na basi mpaka mwisho wa kituo kwa Tsh 330 - 360 tu, unalipia sarafu ya RMB 1 tu.
SeenKatika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600.
Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine. Si hivyo tu kutumia sarafu ya Tsh 500 kwenye nauli inapunguza kuombaomba chenji.
Hili swala halipo sawa viongozi tuwe tunawaza kabla ya kuanzisha vitu, mbona tumeishusha thamani Tsh 500 kiasi hicho? Ilitakiwa miatano iwe nauli ya kulipia mpaka mwisho wa kituo bila kujali umbali.
Ukienda nchi ya China, unazunguka na basi mpaka mwisho wa kituo kwa Tsh 330 - 360 tu, unalipia sarafu ya RMB 1 tu.
Wengine mpaka wanalia kabisa.Wapi wameweka toka 500 hadi 600?
Nauli ni sh 700 na kuendelea mkuu.
Watz ukiwaona kwenye daladala wana nyuso za huzuni sana