Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Soko la Nand lime crash, wame produce Nyingi kuliko Mahitaji, kampuni Zote Sk Hynx, Micron na Samsung zimepata matrilioni ya Hasara, ssd sasa hivi zinauzwa kama Karanga.SSD zipo brand nyingi kwasasa na ufanisi ni tofauti pia specs ni tofauti.
Kwa 120,000/= unaweza kupata SSD ya 1TB hiyo hiyo 120,000 unaweza kupata SSD ya 256GB kulingana na specs.
Nilinunua Kingston 500GB KC2500 Nvme M.2 kwa 170,000 au 180,000 hivi, japo zilikwepo za hadi 1TB kwa bei chini ya hapo, kinachotofautisha bei ni specs. vitu kama read/write speed, PCIe gen.
Even Highend Ssd zenye speed 3.5GBps kupanda kama Samsung 970 Evo plus, 980 unazipata around $50. Crucial p3 plus (5GBps), Western Digital black na Blue mpaka 5.1GBps zote hizi ni $50 ama chini ya hapo.
Zile brand ndogo ndogo zenye speed chini ya 3.5GBps na endurance ndogo zimeshuka hadi around $30.
Hadi Intel ambaye ssd zake ni bei ndefu bei humo humo unapata 2TB kwa $60-70.