Duuh!,. Hadi sabuni ya Unga watu wanaweka mweeUmesema kweli kabisa mkuu.
Ukinawia sabuni unakuwa kama unanawia harufu ya sabuni na si sabuni yenyewe.
Kuna wengine wanaloweka sabuni ya unga halafu wanachanganya na hiyo sabuni ya kunawia mikono kidogo, ukinawa mikono inapauka.
NdiyoDuuh!,. Hadi sabuni ya Unga watu wanaweka mwee
Maziwa nilishawahi nunua nachemsha kwenye jagi hata kufika hakuna...nililia sana kugandisha kwenye chips ya lt1.5 0.5 maziwa Lita moja maji yamejitengaInabaki rangi ya sabuni ila kimsingi inakuwa hamna sabuni
Ndo hivo hata kwenye maziwa, unaagiza maziwa fresh, unaletewa maji Yana Rangi ya maziwa
Inabaki rangi ya sabuni ila kimsingi inakuwa hamna sabuni
Ndo hivo hata kwenye maziwa, unaagiza maziwa fresh, unaletewa maji Yana Rangi ya maziwa
Issue inakuja na hao watumiaji nao kutokutumia kistaarabu. Hand wash ukiweka kiduchu tu inatoa povu jingi na inatoshea kunawa mikono ikasafika. Ila waswahili sasa, ukiweka hand wash kwenye public washing basin usishangae wakatumia watu wanne tu ishaisha. Hapo bado wale wa kuiba kila kitu hajaja na kichupa akapunguza tusabuni kdgHuu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili wa kipumbavu.
Sabuni huwa zinatengenezwa kwa kanuni/formula maalumu ili ziweze kuondoa uchafu na kuua vijidudu, kuongeza maji ila chupa moja itoe chupa tatu ni kupoteza kabisa maana ya formula iliyotumika na hiyo inakuwa sio sabuni tena bali ushahidi wa sabuni tu.
Well said but kwa kiasi fulani sabuni ya kimiminika inaweza kupoteza ubora wake na ufanisi wake ikiwa utaongeza maji kupita kiasi. Hii inatokana na mambo kadhaa:Wee ndo ujui...
Unajua kitendo cha kuongeza maji kwenye sabuni ndo kinaleta strong ya bond iliyopo katika chemicals
Ngoja nikupe elimu fupi wewe yuda binaadam..
Sabuni inatengenezwa na inorganic chemical kama sodium. Carbonet na Sydenham sasa hizi chemical haziwez play part bila maji ndio maana uwezi fua kwa sabuni peke yake ndio maana tunaweka na maji....
Kitendo cha sabuni kuongeza maji sio kama una dilute bali unaongeza kitu kinaitwa surface tension ya chemical zilizopo
Usichanganye watu binaadamu
Kama huna pesa ya kununua na kuweka sabuni ya maji weka sabuni ya unga na usiichanganye na maji, ya buku mbili tu inatosha hao wateja wako wa buku mbili siku nzima.Acheni malalamiko hayasaidiii
Wanaoongeza maji ni hawa wa sehemu chakula buku mbili, unataka watoe wapi pesa ya sabuni???
Hupendi kero nenda sehemu zenye hadhi hawafanyi huo ujinga