Kuongezeka kwa bei za Dhahabu na Mahindi duniani; Mawaziri Biteko na Bashe na Gavana BoT mmejipangaje?

Kuongezeka kwa bei za Dhahabu na Mahindi duniani; Mawaziri Biteko na Bashe na Gavana BoT mmejipangaje?

Katika NYAKATI kama hizi SMARTNESS MATTERS.

Nakumbuka kipindi kile cha Covid 19 Tanzania tulikuwa na nafasi ya juu sana ya kupaa KIUCHUMI kwa kupitia Deal ya Mafuta..

Wakati ule Mafuta yalishuka bei kufikia zero Dollar...

Kwa akili SMART ilikuwa haraka sana tungefunga biashara na Nchi kama Dubai au Russia ambazo thamani ya Pesa zao iko kwenye Stones....Gold in particular.

Kivipi....

Kwa kuyapa Mafuta bei...from 0 to a given Value...say 200...
Halafu tunadevaluate Dhahabu kidogo then tuna swap....

Ungekuta leo tuna mkataba wa mafuta ya miaka say 5...

Hata kama wangechukua Dhahabu kiasi gani-Lakini TAYARI Serikali ingeweza kukusanya up to 50TN kwa Mwaka.....

We missed that opportunity....


Now the Chance came again...

Russia values her Money in Stones....

Also China now...

And since their Mission is to Crush the Dollar...WE SHOULD SWAP WHAT WE HAVE EVEN THOUGH IT IS NOT MINED... WE CAN GET A LOT OF FOREX....THROUGH THAT....

SMART MINDS...

NEGOTIATION SKILLS....

COMMODITE EXCHANGE....

SWAPPING OF RAW MATERIALS.....


ETC

ETC

This is like Betting, I wish I could have put my stake to such n such a team
 
Hivi Tanzania tunaongoza kwa kununua nini??
Tunaongoza kwenye uozo mkubwa ambao umerudi kwa mlango wa nyuma. Zile kampuni za mafuta za Msoga Corporation nazo zitavuna faida kubwa. Awamu ya nne imerudi kazini, tutakoma. Upinzani umelaininshwa na Kiswahili cha Zanzibar nao sasa wamebaki kama mazuzu ya CCM. Unaona sasa walewale wamerudi ili kurudisha mikakati ya kuikamuwa nchi mpaka ikome. Mikopo sasa njenje, lakini kulipa ni Tanganyika!
 
Tunaongoza kwenye uozo mkubwa ambao umerudi kwa mlango wa nyuma. Zile kampuni za mafuta za Msoga Corporation nazo zitavuna faida kubwa. Awamu ya nne imerudi kazini, tutakoma. Upinzani umelaininshwa na Kiswahili cha Zanzibar nao sasa wamebaki kama mazuzu ya CCM. Unaona sasa walewale wamerudi ili kurudisha mikakati ya kuikamuwa nchi mpaka ikome. Mikopo sasa njenje, lakini kulipa ni Tanganyika!

kuna wakati mkuu tuache kuwa walalamishi, tujitahidi tuwe tunatoa michango yetu kulingana na mada zilizopo jukwaani, hapa wanaulizwa mawaziri wamejipangaje kulingana na "kupanda kwa bei za dhahabu na mazao"

Binafsi naona wengi wetu tumekuwa walalamishi wa kunyooshea viongozi vidole huku na sisi tukiwa na tabia zilezile huku mitaani, wapo watanzania wanalalamikia viongozi kila kukicha lakini wenyewe wameajiliwa sekta binafsi na huko nao ni wezi pia, wengine huku mitaani tunao kazi yao kudhulumu wenzao, wengine wachawi, wengine wezi nk...

Hawa viongozi tunaowalalamikia kila siku ndio hawa hawa wakija kwenye familia zetu kwenye misiba na harusi tunawashukuru kwa michango yao mikubwa, wakija kwenye familia wakisomesha ndugu kwa hizo hizo hela za wizi tunawafurahia na kuwapongeza....

Binafsi naamini matatizo ya Tanzania ni matatizo ya Africa yoote, shida hizi kila mahala ukienda Africa utazikuta kifupi ndio tabia ya mtu mweusi, Tunalalamikia awamu ya nne kana kwamba awamu zote hazikuwahi kuwa na wizi au upigaji, nchi hii awamu zote za uongozi kuanzia JKN mpaka hii ya leo zote watu ni wapigaji tu kupindukia maana ndio tabia ya mtu mweusi hata mimi na wewe ni wale wale tu..
 
Back
Top Bottom