LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 677
uzee uo, acha kupoteza ela nunua nyingine aiseemiaka 7
Kuna jukwaa la vyombo vya usafiri (JF Garage). Huko kuna wajuzi wengi zaidi wanaweza kukusaidia zaidiNina Toyota SIENTA ya 2004. Wakati nainunua miaka 7 iliyopita ilikuwa inatumia Lita moja ya petroli Kwa. Kilomita 9/10. Ghafla tangu mwezi mmoja na nusu uliopita, ulaji wa mafuta umeongezeka hadi lita moja kwa kilomita 4/5!!! Nimepeleka kwa fundi wawili tofauti na wote wanajikanyaga tu. Naomba msaada kutoka kwa wataalam wa humu tafadhali.
Ukwel nambari unoKama haina Miss-firing angalia labda kuna leakeage
miss-firing inassababishwa na spark plugs hazichomi au Spark Coil zimekufa
Kama haina Miss-firing angalia labda kuna leakeage
miss-firing inassababishwa na spark plugs hazichomi au Spark Coil zimekufa
Nina Toyota SIENTA ya 2004. Wakati nainunua miaka 7 iliyopita ilikuwa inatumia Lita moja ya petroli Kwa. Kilomita 9/10. Ghafla tangu mwezi mmoja na nusu uliopita, ulaji wa mafuta umeongezeka hadi lita moja kwa kilomita 4/5!!! Nimepeleka kwa fundi wawili tofauti na wote wanajikanyaga tu. Naomba msaada kutoka kwa wataalam wa humu tafadhali.
Ndio mafundi wetu wa kibongo hawa,hakushauri ufanye diagnosis wala nini ukute hajui hata kuna Obd2 anakushauri tu ubadilishe Pump/engine.Pole sana...
Toka ilipotoka, mpaka inakufikia wewe na kuitumia wa miaka 7 bado unataka ibakie vile vile...
Badilisha pump au engine kabisa...
Cc: mahondaw
Ndio mafundi wetu wa kibongo hawa,hakushauri ufanye diagnosis wala nini ukute hajui hata kuna Obd2 anakushauri tu ubadilishe Pump/engine.
Asante sana mkuu, umenitia moyo, ngoja nitafute fundi mwenye hiyo odb2 scanner.Jaribu pia kumcheki mkuu kichuguu na post yake ya maswala ya engine, nilikua nikisimama kwenye foleni na ng'aa ng'aa macho gari linazima. Akanishwauri nibadili air filter mpaka sasa hivi na enjoy maisha.
Pia odb2 scanner ni muhimu kama wengi walivyosema, kuna jamaa yangu gari lake tangi alinunue lilikua likibugia matank ya mafuta, juzi kuna jamaa aakajana scanner yake, ikagundulika kuwa gari linamiss firing ndogo ndogo nyingi na hizo miss zinababishwa na oxygen sensor iliyorudi kwao
Nimesha fanya hivyo mkuu ila tatizo liko palepale ingawa plug mbili za kulia baada ya muda kidogo tu zinakuwa na carbon!!Badilisha plug mkuu alafu uje unishukuru
nunua plug origino sio hizi za elfu 15000Nimesha fanya hivyo mkuu ila tatizo liko palepale ingawa plug mbili za kulia baada ya muda kidogo tu zinakuwa na carbon!!
Sawa mugaka!Mleta uzi ukishapata suluhisho, ni vuema ukaja kueleza kuwa ulikuta ni kitu gani kinashida...hii itasaidia kurahisisha maishsa kwa mtu yeyote ambaye anaweza kupata tatizo kama hili