Kuongezeka kwa ghafla ulaji wa mafuta ya gari

Kuongezeka kwa ghafla ulaji wa mafuta ya gari

LaplaceTransformation

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
776
Reaction score
677
Nina Toyota SIENTA ya 2004. Wakati nainunua miaka 7 iliyopita ilikuwa inatumia Lita moja ya petroli Kwa. Kilomita 9/10. Ghafla tangu mwezi mmoja na nusu uliopita, ulaji wa mafuta umeongezeka hadi lita moja kwa kilomita 4/5!!! Nimepeleka kwa fundi wawili tofauti na wote wanajikanyaga tu. Naomba msaada kutoka kwa wataalam wa humu tafadhali.
 
Kuna jukwaa la vyombo vya usafiri (JF Garage). Huko kuna wajuzi wengi zaidi wanaweza kukusaidia zaidi
 
Mleta uzi ukishapata suluhisho, ni vuema ukaja kueleza kuwa ulikuta ni kitu gani kinashida...hii itasaidia kurahisisha maishsa kwa mtu yeyote ambaye anaweza kupata tatizo kama hili
 
Hapa nadhan tusije tukalaimu fund au gari tatizo linaweza kuwa kwako mwenyewe, kwanini nasema hivyo siku hizi kuna umbwe kubwa sana la watu kuyafanyia magari yao modifications either kwa kuongezea vitu ambavyo yeye mmiliki anavitaka au kuweka kitu ambacho hakiendani na uwezo wa gari mfano unamkuta kijana ana ist yake nzuri tu lakini baada ya mda kidogo anaenda kuibadilisha gairi na rimu kwa kutoa zile zilizokuwepo na kuweka hizi rim sport ambacho ni kitendo kizuri kwani anaipendezesha gari yako jambo ambalo sio baya lakini je hizo anazoziweka zinafanana na zile alizozitoa? Hapo ndo kunaanzia tatizo hebu tuchukulie mfano una ist ambayo inafungwa matairi yenye size ya 195/70/R15 hizi no zina maana yake kwenye gari ndio maana watengenezaji wakaweka matairi hayo kwa gari hiyo kuliko wangeweka mengine lkn cha kushangaza wewe ukienda duka wanalouzz rim sport wao wakifika aanakuwekea tairi 205/70/R17 hapo lazima tu kama gari yako ilikua inaenda km9 kwa liter moja ya mafuta itaenda 4 kwa liter moja kwani mzunguko wa tairi kumaliza mduara wake utaongezeka kwa sekunde kadhaa kulinganisha na lile lililokuwepo awali na pia wengi wenu siku hizi mnazibebesha gari zenu mizigo mingi na inawekewa urembo ambao hata sio wa msingi na ambao nao ndio chanzo cha gari kula mafuta kiasi hicho! Badili rim weka unazoziitaji lakn hakikisha inachokitoa na unachokiweka viko sawa
Nina Toyota SIENTA ya 2004. Wakati nainunua miaka 7 iliyopita ilikuwa inatumia Lita moja ya petroli Kwa. Kilomita 9/10. Ghafla tangu mwezi mmoja na nusu uliopita, ulaji wa mafuta umeongezeka hadi lita moja kwa kilomita 4/5!!! Nimepeleka kwa fundi wawili tofauti na wote wanajikanyaga tu. Naomba msaada kutoka kwa wataalam wa humu tafadhali.
 
Pole sana...

Toka ilipotoka, mpaka inakufikia wewe na kuitumia wa miaka 7 bado unataka ibakie vile vile...

Badilisha pump au engine kabisa...

Cc: mahondaw
Ndio mafundi wetu wa kibongo hawa,hakushauri ufanye diagnosis wala nini ukute hajui hata kuna Obd2 anakushauri tu ubadilishe Pump/engine.
 
Jaribu pia kumcheki mkuu kichuguu na post yake ya maswala ya engine, nilikua nikisimama kwenye foleni na ng'aa ng'aa macho gari linazima. Akanishwauri nibadili air filter mpaka sasa hivi na enjoy maisha.
Pia odb2 scanner ni muhimu kama wengi walivyosema, kuna jamaa yangu gari lake tangi alinunue lilikua likibugia matank ya mafuta, juzi kuna jamaa aakajana scanner yake, ikagundulika kuwa gari linamiss firing ndogo ndogo nyingi na hizo miss zinababishwa na oxygen sensor iliyorudi kwao
 
Asante sana mkuu, umenitia moyo, ngoja nitafute fundi mwenye hiyo odb2 scanner.
 
Back
Top Bottom