LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 677
Nina Toyota SIENTA ya 2004. Wakati nainunua miaka 7 iliyopita ilikuwa inatumia Lita moja ya petroli Kwa. Kilomita 9/10. Ghafla tangu mwezi mmoja na nusu uliopita, ulaji wa mafuta umeongezeka hadi lita moja kwa kilomita 4/5!!! Nimepeleka kwa fundi wawili tofauti na wote wanajikanyaga tu. Naomba msaada kutoka kwa wataalam wa humu tafadhali.