Kuongezeka kwa Joto Nchini

Kuongezeka kwa Joto Nchini

Nyie watu wanakata miti maporini kutengeneza mikaa mnategemea mpate hali nzuri ya hewa!

Serikali imekaa kimya na wananchi wengi walivyo wajinga wanaona ni kitu cha kawaida.
SIO POA
 
KUNA WATU WAMEKULA HELA ZA MRADI WA MVUA

Usiku ndio hakulaliki, unaoga ukijifuta kidogo joto tena unarudi kuoga

mchana ndio usiseme kama huna AC AU FENI ndio balaa
Kwahiyo hata Makolo ile mvua yao kishirikina imegoma?

Au walipopigwa 5 na mvua ilinyesha wamebadili gia?
 
KUNA WATU WAMEKULA HELA ZA MRADI WA MVUA

Usiku ndio hakulaliki, unaoga ukijifuta kidogo joto tena unarudi kuoga

mchana ndio usiseme kama huna AC AU FENI ndio balaa
Hili ni joto la uchaguzi 😃
 

Nimekuja holiday moja kwa moja kijijini,
Baridi sio ya dunia hii.Kweli Tanzania kubwa[emoji2]
 

Attachments

  • IMG_4618.jpg
    IMG_4618.jpg
    318.6 KB · Views: 1
Wakuu hali ni mbaya, joto limeongezeka maradufu , sehemu nilipo niewasha feni ila joto linasoma nyuzi joto 29C hali ni mbaya kunyweni maji mengi sana. Noamba kuwasilisha
Hamasisheni wadada wavae chupi joto Lita pungua
 
Back
Top Bottom