Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

Nihaomedia7

Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
32
Reaction score
77
Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2015 Hadi sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la kampuni za michezo ya kubeti kuja kuwekeza Tanzania.

Je nikutokana na kuimarika kwa huduma za internet, au upatikanaji mzuri wa njia za malipo ya simu? Je kutokana na uwekezaji wanaokuja nao mathalani kila kampuni inakuja na 1 Trilion

Je Kuna athari chanya kwenye uchumi wetu au tunakuza mitaji yao pekee?. Karibu katika mjadala
Angalia Orodha ya makampuni ya kubeti hapa>>https://www.masshele.com/2021/04/kampuni-bora-za-kubet-upande-wa.html?m=1
 
Hizi kampuni kuwepo ni muhimu sana. Zimetoa fursa kwa vijana kujiajiri.
Pili kama mlivyosikia sportpesa kamwaga billion nne kwa mwaka pale kwa wananchi. Hivyo wachezaji wataliowa hela nzuri na wao wataenda kutoa ajira kwa vijana wengine. So wacha wajazane tuu wanaleta maendeleo kwenye nchi
 
Kuongezeka kwa makampuni hayo...... ni mara nyingi kwa jambo lolote lile kuwa na Faida na hasara. Ni umuhimu tu kwetu sisi ku measure and minimise the risky lakini kwa hao jamaa kuna vitu vingi wamepunguza hasa kwa kusaidia hata maelfu ya vijana kujipatia ajira. Hebu imagine hao watu wakikàa mtaani tutatengeneza nini kwa jamii kwa ujumla na pia hata kwa hao wanaocheza pia unaambiwa cheza kistaarabu ni kwamba iwe ni part tu ya maisha.......Hatutakiwi kusahau tamaduni zetu ila dunia ya sasa inahitaji kujijenga sana kiuchumi. Hata kwa mfano mwingine kuna bidhaa ni hatari kwa afya ila bado zinauzwa.
 
Back
Top Bottom