Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

Ni dalili mbaya sana kwa mtizamo wa kiuchumi
Uchumi wa kamari unahamasisha nguvu kazi kubwa ambayo ingetumika kwa uzalishaji kujikita kwenye micheo ya kubahatisha kwa gharama kubwa ambapo chances za ushindi ni ndogo sana. Ni jambo ambalo serikali inatakiwa ku-discorage kwa njia mbili
1. Leseni ya kuendesha kamari iwe ghali sana
2. Kodi iwe zaidi ya asilimia 40 kwenye mapato ghafi
3. License validity iwe na maximum of 6 months, anayetaka akate tena nyingine
4. Pasiwe na promotions kwenye mass media kama redio, magazeti, television. Waendeshaji wajitangaze wenyewe kwenye mitandao ya kijamii
Hizi gharama zote analipa anayecheza hiyo kamali, mwenye kampuni hutoa 25% tu ya mapato yake kwa mshindi 75% ni gharama zake za kiuendeshaji. Kwahiyo hizo kodi unazopendekeza unamkomoa mcheza kamali.
 
Serikali we ukiilipa kodi hata kama una wachapa fimbo raia wake wao wanaona sawa tu.
 
Ni dalili mbaya sana kwa mtizamo wa kiuchumi
Uchumi wa kamari unahamasisha nguvu kazi kubwa ambayo ingetumika kwa uzalishaji kujikita kwenye micheo ya kubahatisha kwa gharama kubwa ambapo chances za ushindi ni ndogo sana. Ni jambo ambalo serikali inatakiwa ku-discorage kwa njia mbili
1. Leseni ya kuendesha kamari iwe ghali sana
2. Kodi iwe zaidi ya asilimia 40 kwenye mapato ghafi
3. License validity iwe na maximum of 6 months, anayetaka akate tena nyingine
4. Pasiwe na promotions kwenye mass media kama redio, magazeti, television. Waendeshaji wajitangaze wenyewe kwenye mitandao ya kijamii

Serikali imeacha mpaka redio zinafanya hiyo biashara ni masjabu sana aiseeh
 
Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2015 Hadi sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la kampuni za michezo ya kubeti kuja kuwekeza Tanzania.

Je nikutokana na kuimarika kwa huduma za internet, au upatikanaji mzuri wa njia za malipo ya simu? Je kutokana na uwekezaji wanaokuja nao mathalani kila kampuni inakuja na 1 Trilion

Je Kuna athari chanya kwenye uchumi wetu au tunakuza mitaji yao pekee?. Karibu katika mjadala
Angalia Orodha ya makampuni ya kubeti hapa>>https://www.masshele.com/2021/04/kampuni-bora-za-kubet-upande-wa.html?m=1
Nambie mkuu
 
Back
Top Bottom