Kuongezeka kwa makampuni hayo...... ni mara nyingi kwa jambo lolote lile kuwa na Faida na hasara. Ni umuhimu tu kwetu sisi ku measure and minimise the risky lakini kwa hao jamaa kuna vitu vingi wamepunguza hasa kwa kusaidia hata maelfu ya vijana kujipatia ajira. Hebu imagine hao watu wakikàa mtaani tutatengeneza nini kwa jamii kwa ujumla na pia hata kwa hao wanaocheza pia unaambiwa cheza kistaarabu ni kwamba iwe ni part tu ya maisha.......Hatutakiwi kusahau tamaduni zetu ila dunia ya sasa inahitaji kujijenga sana kiuchumi. Hata kwa mfano mwingine kuna bidhaa ni hatari kwa afya ila bado zinauzwa.