Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

Hizi gharama zote analipa anayecheza hiyo kamali, mwenye kampuni hutoa 25% tu ya mapato yake kwa mshindi 75% ni gharama zake za kiuendeshaji. Kwahiyo hizo kodi unazopendekeza unamkomoa mcheza kamali.
 
Serikali we ukiilipa kodi hata kama una wachapa fimbo raia wake wao wanaona sawa tu.
 

Serikali imeacha mpaka redio zinafanya hiyo biashara ni masjabu sana aiseeh
 
Nambie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…