masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Wewe na Maso huwa nawachanganya, na kwa sababu maalum.Mzee Maso mbona wataka kulianzisha!
Usipate majotro bro!Wewe na Maso huwa nawachanganya, na kwa sababu maalum.
Mkuu heshima yako.Tatizo ni huu unafiki wa kushindwa hata kusema tatizo unaloliona na nani anapendelewa. Sema ni nani ili tujadili na kukemea tatizo. Unaogopa hata kusema unachofahamu kwa majina bandia!! Cowardice!..
Eti wahaya hawaalikani? Naona umelewa rubisi si bure.Tatizo ni huu unafiki wa kushindwa hata kusema tatizo unaloliona na nani anapendelewa. Sema ni nani ili tujadili na kukemea tatizo. Unaogopa hata kusema unachofahamu kwa majina bandia!! Cowardice!...
Uzuri ni kwamba hii fimbo inachapa wote waliokuwa washabiki na sisi watazamaji. Na bado. Hadi maji mseme mmaaaTusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo , ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania...
Tunaishi nyakati unazizijua vema.Tatizo ni huu unafiki wa kushindwa hata kusema tatizo unaloliona na nani anapendelewa. Sema ni nani ili tujadili na kukemea tatizo. Unaogopa hata kusema unachofahamu kwa majina bandia!! Cowardice!..