Bibie unatakiwa uwe unaitumia vizuri sana akili yako kufikiria mambo kama haya,na kuita upuuzi jambo ambalo si upuuzi,huo upuuzi unakuwa nao wewe. Mpaka unakufa huwezi kukosoa aina hii ya ndoa zaidi ya hisia na si hoja za kielimu.Ni upuuzi huu,. wewe binti yako akaolewe mitala utafurahi..??tuwe realistic jamanii usijione ww kwakuwa ni mwanaume ndio useme hivyo,. magonjwa na usaliti haviwezi kuisha kwa mfumo huo,
Kwanini nisikubali ? Tena jambo jepesi sana,sababu hiyo ni ndoa tena halali,kuwa mke wa pili au wa tatu hiyo ni idadi tu.
Kwahiyo ndoa ya mke mmoja inapunguza usaliti na maradhi ? Bibie unatumia kufikiria kwa kutumia nini ?
Dawa ya uzinzi ni watu kuacha uzinzi na kuwa waaminifu kinyume na hapo ni sifuri kisirani tu.