The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 828
- 2,110
Nyambafuu...Zero brain..Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Umesahau kuweka namba ya simuNimekuwa mnazi sana wa awamu hii, lakini kasi ya kuisha ymuhula wa mheshimiwa imekuwa kubwa, yaani kama kuna mkono wa mtu, kufumba na kufumbua 2015-2020 imeisha,tunajua 2020-2025 ndio kabisa itapita kama upepo.
Watoto bado wanasoma,kakibanda hakajaisha, sijui itakuwaje yaani
Kwa kweli katiba ibadilishwe tuendelee kula na kumalizia majukumu mawili matatu
Ntakutumia inboxUmesahau kuweka namba ya simu
Sana aise bado kukutolea posa kwenu tuRais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Mtumie babu yenu awakumbuke kwenye teuziNtakutumia inbox
Kumbe!!!Nimekuwa mnazi sana wa awamu hii, lakini kasi ya kuisha ymuhula wa mheshimiwa imekuwa kubwa, yaani kama kuna mkono wa mtu, kufumba na kufumbua 2015-2020 imeisha,tunajua 2020-2025 ndio kabisa itapita kama upepo.
Watoto bado wanasoma,kakibanda hakajaisha, sijui itakuwaje yaani
Kwa kweli katiba ibadilishwe tuendelee kula na kumalizia majukumu mawili matatu
Si vizuri[emoji848]View attachment 1474168
Jamani tusaidiane, wewe ni mwanaume, mwanamke, shoga au huna jinsi au una jinsi zote mbiliRais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Jamani tusaidiane, wewe ni mwanaume, mwanamke, shoga au huna jinsi au una jinsi zote mbili