mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Ila Nyerere alikua ni kichwa sana mazee.
Alisema wakati yeye anataka kuachana na mambo ya kuendelea kuongoza/kua rais aliwaita wasaidizi wake na viongozi wengine waandamizi akawaambia nia yake hio ya kuachia madaraka then akawauliza wao wana maoni gani khs suala hilo?
Wote wakamjibu kwamba mzee bila wewe nchi hii itayumba sana na kugawanyika kabisa tafadhali tunaomba uendelee kutuongoza baba.
Nyerere anasema aliwaangalia wasaidizi wake na akajua wana wasiwasi na hatma ya maisha yao/vyeo vyao/future zao endapo Nyerere ataondoka na atakuja kiongozi mpya na wala sio kwamba walikua wanampenda na kumu-admire Nyerere.
Akasema sikumsikiliza mtu ila niliachia madaraka fasta.
Hii story Nyerere alikua anapenda kuihadithia huku akicheka sana.