Willard Jonnes
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 361
- 754
Hizi nondo ni Konki sana hata mimi mtu anae nisifia huwa namuogopa sana tena hadharani, Licha ya mimi kutokuwa mfuasi wa Dini yoyote ila kwa hili natoa kongole sana Upande huu watu wamepiga shule sana hakuna shehe anaweza kuongea hayo kama tu shehe anasimama kwenye podium hajui hata jina la Rais nini tutegemee, Huu ni muda kama taifa tushikamane, Rais anahitaji mengi zaidi ya Kusifiwa wanachofanya Wabunge ni kulinda nafasi zao bila kuangalia kesho yao na Vizazi vyao, Pia ni kama hawaoni kuwa tuna marais watatu wastaafu wakiwa Hai kabisa