Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

Kuna wakati hata saa mbovu inakuwa sahihi. Kumbe Mrema alipowakataa MAGABACHOLI alikuwa na hoja. Leo Kessy baada ya kuzawadiwa ubunge kwenye nchi ya ugenini anajiona Mtanzania zaidi ya wazawa na kuanza kutupangia namna atakayo yeye sisi kujitawala? Amesahau Uraia halisi wa nchi hii ameupata miaka 13 tu ilitopita baada ya kukana uraia wa kwao Oman?

Ndugai anaogopa kufanyiwa alichofanyiwa Samwel Sitta. Kuletewa Spika mwingine na kuambiwa sasa ni zamu ya mwanamke!
 
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Wazee wetu walishasema sio bure
IMG_20200610_212156.jpeg
 
Nimekuwa mnazi sana wa awamu hii, lakini kasi ya kuisha ymuhula wa mheshimiwa imekuwa kubwa, yaani kama kuna mkono wa mtu, kufumba na kufumbua 2015-2020 imeisha,tunajua 2020-2025 ndio kabisa itapita kama upepo.

Watoto bado wanasoma,kakibanda hakajaisha, sijui itakuwaje yaani

Kwa kweli katiba ibadilishwe tuendelee kula na kumalizia majukumu mawili matatu
Ni hivi
IMG_20200610_212156.jpeg
 
Aonye mambo ya dini sio siasa, Kama anataka aache dini aingie ktk siasa
Ni jukumu la kiongozi wa dini kuonya viongozi na wanasiasa! Labda hujui tu maana ya siasa, kwa ufupi siasa ni watu, maendeleo na uongozi wa watu! Mungu aliye umba watu ndiye mwenye maelekezo ya jinsi ya watu kuishi, kujipatia maendeleo na uongozi kwa jumla! Ni makosa makubwa viongozi wa dini kufunga au kufungwa vinyls vyao, ni Sawa na kusema hakuna Mungu!
 
Waondoe tu ukomo,ili tuone kinyang'anilo kina ben nao wakiingia ulingoni
 
Kuna watu wanajikuta yaani wao ndio wenye hii nchi na kwamba watatawala milele na hawatokufa

Na kwamba nyie wengine Ni mavi mavi tu yaani hawababaishi kwa lolote.

Na kwamba keki ya taifa Ni yao peke yao nyie yenu magimbi ya rufiji

Daah ngoja tuone mwisho wao itakuwaje[emoji3166][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa baba Askofu,viongozi wa CCM hawakuwahi kuwa na nia njema katika nchi hii,wanachotaka kukifanya kwa sasa watu wamwage damu ndio nafsi zao zitulie,maana kuna mengi ya kibaradhuli wameyafanya sasa haitoshi wamekuja na gia hii ili kulinda maslai yao.

Watambue kuwa binadamu ana ukomo wa uvumilivu pindi atakaposema inatosha ndipo hugeuka na kuwa na tabia za kinyama...
 
Wale maaskofu waliokiwa wakitoa waraka enzi za JK wote wamevimbiwa sacrament. Kimya wanamgwaya Jiwe
Sheikh Ponda pekee ndiye anayeweza kuongea hivi, wengine wote ni Masheikh UBWABWA na wote ni wapumbavu wapumbavu.
Waislam wakiongozwa na Mashekhe wao ni Mangumbaru sikuzote

Wanaburuzwa tu. Wakishapewa ahadi ya kujengewa msikiti na wakalishwa ubwabwa tu basi woote wanakubali kila wanachoambiwa.

Majinga sana wallah...!

Hahaha,
 
"Akiwafuata watu wa namna hiyo, basi ajue kuwa anaikaribisha hasira ya Mungu kwake mwenyewe na kizazi chake!"
 
Back
Top Bottom