Kwa mujibu wa ibara ya ngapi ya katiba?Ni jukumu la kiongozi wa dini kuonya viongozi na wanasiasa! Labda hujui tu maana ya siasa, kwa ufupi siasa ni watu, maendeleo na uongozi wa watu! Mungu aliye umba watu ndiye mwenye maelekezo ya jinsi ya watu kuishi, kujipatia maendeleo na uongozi kwa jumla! Ni makosa makubwa viongozi wa dini kufunga au kufungwa vinyls vyao, ni Sawa na kusema hakuna Mungu!