Leo napenda kuja na mada ambayo huwenda ikasaidia wale waliopo kwenye nafasi za uwongozi wa juu wa Taifa.
Awali ya yote nilazima tuambiane ukweli Taifa lina jengwa ktk misingi ya siasa bora ila ni bahati mbaya sana Taifa lilipo amua kuingia ktk misingi ya siasa za vyama vingi sio kwa chama tawala wala upinzani tulijiandaa kwa siasa za vyama vingi ila tulijenga siasa ya vyama vingi yenye muktadha wa mmoja kumuondoa mwingine while alie kwenye madaraka kujiandaa kutawala milele na kumuona anaye taka kumuondoa nikama muwasi.
Hii ndio imekuwa akili ya vyama vya siasa vyote na walio kwenye utawala.
Mbaya kuliko yote vyama vikawa vingi lakini wengine wakiwa kama mamluki huku wakilamba bonasi ya malipo kutoka serikalini. Hili limetengeneza vyama dhaifu wakati chama tawala kikijikita kama chama tawala chini ya chama dola... Yaani chama Tawala kimesembaza mkia wa octopas kwenye kila idara nyeti ya Taifa kiasi ile maana ya miimili mitatu inaonekana ktk vitabu na masikioni ila ni kama ipo paralize na ukitaka prove my words refer kipindi cha Magufuli nadhani ktk wakati mashirika yakijasusi yaliweza kujuwa vile chama tawala kinatawala basi nikipindi cha Hayati JPM yaani kila mtu alitamani kujifungia chumbani kama mtakumbuka sakata la Prof Assad na ile bit ya Hayati JPM kwa Prof Ibrahim nadhani kwa wenye jicho la Tatu watakubaliana na mimi 😄 wazee walitamani dunia isimame washuke sio kwa aibu ile. Mwamba alifanya as head of state.
Kiukweli kabisa sishabikii yale ambayo Hayati aliyafanya mabaya ila hayati alituonyesha wazi wazi how they operate kitu hakukigusa tukaona vyema ni..... dp state end.
Wakati fulani Rais Mstaafu ambaye chadema walimuita rais dhaifu alionyesha umma yeye sio dhaifu ila Mola amempa uwezo wakubeba mambo mazito nakuwa na sura ya tabasam. Ndie Rais inasemekana wajati mwingine akipewa heat list alikuwa akisema waachwe wanajutafuta.
Jakaya Mrisho Kikwete uwenda akawa mmoja ya marais bora kabisa kuwahi pikwa kuwa Rais maana hakuweka hisia ila uongozi nakuvipa vyombo vyake kufanya kazi kwa weledi na sheria.
Nimoja ya marais aliweza tengeneza legacy mpya ktk jicho la wana usalama yaani kukuwako unampiga manati kwa nini usingoje aingie umchinje au mpe sumu afe kama umpendi? Falsafa hii ilijenga idara zenye uwezo mkubwa na kupunguza kelele na maadui. Well sitamani kuandika kwa mifano kuepuka kujuwa sana mamho ila JK nimoja ya marais intelligence ilitumika zaid tawala Taifa kuliko hisia binafsi.
Ktk hali isio kuwa ya kawaida Mzee JK alipeleka maombi kupunguza madaraka ya Rais. OMBI HILI lilibezwa sana nakumuona JK ni zaid ya dhaifu kumbe JK 😜 alikuwa zaid ya deep state na nikama alijuwa baada ya yeye ajaye akikuta zile pawa basi kila mtu atajifungia chumbani nakusali sala ya mwisho jambo ndilo lilitokea. JPM aliinyesha the power of head of state na ndio maana Rais wa awamo ya sita akasema it was a favor kwa upinzani kwamba wakitaka lamba mchanga basi wazidi kutokonya alafu awawashe. Nikweli wala hatupaswi beza maana Rais wa hili Taifa ananguvu kubwa sana kiasi hata roho zetu nikama mali yake 😢 😭
Imekuwa bahati mbaya sana JPM aliondoka kachukua mwanamke sasa kiuhalisia wanawake wanaongozwa kwa hisia kiasi kikubwa. Nasina uhakika kama taifa tulikuwa na watu wamesha andaliwa kuwa presidential advisor maana akipata advisor anacheza na hisia zake mbona tutakuwa hatulali majumbani.