somo zuri sana limeniwezesha kuhusianisha na NO REFORMS NO ELECTIONS ya CDMMimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa.
" Kuonyedha Kutokuwa na uhitaji wa kitu chochote kile kwenye maisha Kuta kufanya kuwa na nguvu juu ya kila kitu kwenye maisha kwa sababu If you don't don't anything then u have everything, you don't need anything cause u have everything.
Hii ni sheria " Kanuni" ambayo haijaandikwa lakini Ina operate in a very eftective manner.
Ngoja nikupe mfano mmoja.
Last week nilienda kijijini kwetu Chanika kula Eid. Kesho nikiwa huko huko Chanika nilipita kwenye mtaa mmoja nikakuta tangazo kwenye fremu " Fremu inapangishwa", nikachukua namba then nikasogea zangu pale One Point kupata moja moto moja baridi.
So nikapiga simu: Aka pokea mwanamke nikamuulizia kuhusu fremu, akasema yupo busy kidogo nisubiri baada ya Dakika tano atanipigia .. Baada ya Dakika tano hakupiga. Nikapiga baada ya nusu saa hakupokea. Nikapiga tena baada ya dakika kumi akapokea nikamwambia nahitaji fremu akasema sawa baada ya dakika kumi atanipigia anipe bei na u taratibu. Baada ya dakika kumi hakupiga.. Nikapiga kama dakika 20 nikampigia hakupokea. Baada ya dakika 5 aka beep nikapiga nikamuuliza bei ya fremu akaniambia laki na nusu wanachukua miezi Sita. Nikamwambia laki na nusu mbona nyingi sana. Nikamwambia kwangu hiyo laki na nusu ni nyingi sana , fremu ni nahitaji sana na nilkuwa tayari kulipia hata Leo lakini kwa laki na nusu ni kubwa sana sintoweza Wacha nitafute scheme nyingine, akasema " Kwani wewe bajeti yako ni shilingi ngapi? " , nikakata simu.
Nilipokata simu akapiga siku pokea.
Akapiga kama Mara nne hivi sipokei.
Akatuma meseji " Maongezi yapo ndugu" Siku pokea.
Akapiga simu sana ya ni ndani ya masaa mawili ilikuwa kila baada ya dakika kadhaa anapiga simu.
Mwisho wa siku aka give up ila kesho yake asubuhi ambayo ni jana akapiga tena siku pokea.
Leo tena muda huu nipo zangu town kapiga nimekata naona hajapiga tena.
Have u seen what has happened?
Wakati ninaonyesha nina uhitaji alikuwa ananichukulia poa. Sio ko sa lake kwa sababu hivi ndivyo ulimwengu unavyo operate. Mpaka muda huo ye ye ndio alikuwa ana power kwa sababu alionyesha kwamba ye ye sio m uhitaji Hana shida na HeLa.
Ila alipogundua I am no longer interested ndio akaona umuhimu wangu, power Ika shift kutoka kwake kuja kwangu. Akaanza kuona power yangu ndio akaanza kuntafuta.
Hivyo ndivyo ulimwengu unavyo operate in everything and on every level kuanzia kwenye mapenzi, ndoa, mahusiano etc.
Usimuonyeshe mtu kwamba una uhitaji sana. Kwa sababu kwa kufanya hivyo utakuwa una give up all ur powers to them.
He who doesnt give a damn about the relationship in a relationship, holds all the power.
Get your money have your things. Never show anyone that u need them or ur desperate for them.
Thank me later.
kaka ingia hata kwenye AI mfano grok anakuambia hii ni solid principleUmeandika utopolo mtupu đźš®
AI inawapumbaza sana kila kitu uliza akili mnembakaka ingia hata kwenye AI mfano grok anakuambia hii ni solid principle
Yep, it’s a solid principle. When you don’t cling to something—be it a person, a deal, or even an outcome—you signal strength. It’s like you’re untouchable; no one can pull your strings. Think about it: if you’re desperate, people smell it and use it. But if you act like you’re fine without it, they’ve got nothing to grip onto. It’s why walking away from a bad offer often gets you a better one—suddenly, they’re chasing you. Detachment isn’t just freedom; it’s leverage.
Hazikinzani. Law of attraction iko hivi una attract kile unacho kitaka kwa kufany a vitu ambavyo vitaki command kukufuata chenyewe. Kwa mfano if u want people to love u just love yourself firstMbona kama ina kinzana na kanuni ya mvutano ,( law of attraction)?
For every rule/principle there must be an exception, leteni izo exceptions or else ni utopolo kama utopolo mwingine.kaka ingia hata kwenye AI mfano grok anakuambia hii ni solid principle
Yep, it’s a solid principle. When you don’t cling to something—be it a person, a deal, or even an outcome—you signal strength. It’s like you’re untouchable; no one can pull your strings. Think about it: if you’re desperate, people smell it and use it. But if you act like you’re fine without it, they’ve got nothing to grip onto. It’s why walking away from a bad offer often gets you a better one—suddenly, they’re chasing you. Detachment isn’t just freedom; it’s leverage.
Kwa nini isikizane wakati hiyo uliyotaja ina ignore zaidi ya ku pay attention?Hazikinzani. Law of attraction iko hivi una attract kile unacho kitaka kwa kufany a vitu ambavyo vitaki command kukufuata chenyewe. Kwa mfano if u want people to love u just love yourself first
AI ndiyo fourth industrial revolution, I think wewe tumekuacha kwenye 3rd revolution badoAI inawapumbaza sana kila kitu uliza akili mnemba
PumbaAI ndiyo fourth industrial revolution, I think wewe tumekuacha kwenye 3rd revolution bado
Inaonekana we ndo yule dadaUmeandika utopolo mtupu đźš®
yap kabisa ungebisha nisingekuelewaHiyo ni different realm
100% Factkaka ingia hata kwenye AI mfano grok anakuambia hii ni solid principle