Upo sahihiHii ni kweli, lakini sio kwenye kila kitu.
It can be counterintuitive, but also counterproductive.
Mfano suala kama masomo, mwanafunzi akisema ayasusie masomo, asisome aoneshe hayahitaji sana, atafeli.
Kuna vitu vinahitaji emotional investment. Kujizatiti.
Poa ndugu yanguUsijali mkuu
Kanuni yako ina fanya kazi kwa totozi kukupa attention tu ,ngoja uitwe kwenye dili la pesa halafu ufanye ku ignore uone kama utapata hizo pesa.Sometime when u ignore people u attract their attention. Ukimya wako unaweza kuwa attract more attention kuliko maneno yako. Mfano mwalimu yupo darasani ana fundisha wanafunzi anaongea, akinyamaza ghafla akastop kufundisha wanafunzi wote wata kaa kimya na ku concentrate.
Ukitaka kujua hiyo kanuni jinsi inavyo fanya kazi basi wewe potea mtaani kwenu kama miezi Sita siku ukija kuonekana utashangaa mpaka watu usio wadhania wanakuuliza hivi ulikuwa wapi mbona ulikuwa huonekani. Na hao ni watu ambao ulikuwa huongei nao kabisa.
Ukiwa unaenda misibani kila siku nobody notice.
Ila ukiacha kwenda mara mbili tatu utashangaa watu wanateta huko mbona mini me sikuhizi haendi misibani. Na msiba umehudhuriwa na watu elfu 5 Ila wewe tu ambae hujaonekana watu wame notice...
Hata hapa Jf raraa reree amestop kulike posts za watu, Hadi nyuzi zinaanzishwa " Hivi raraa reree siku hizi yupo wapi"
Kanuni yako ina fanya kazi kwa totozi kukupa attention tu ,ngoja uitwe kwenye dili la pesa halafu ufanye ku ignore uone kama utapata hizo pesa.
HaloooInategemeana na deals unazo fanya.
Mpe demu mimba kataa, wazazi wake watakufuata kukulazimisha umuoe tena bila mahari na kukutisha juu.
Ila jitoe ufahamu nenda kachumbie, utaambiwa mara sijui mkaja wa babu, ugoro wa babu, vitenge vya Shangazi na hela juu.
Halafu kwenye tukio la mahari ni tabu tupu mara mjomba mtu kasusa mara mpigwe faini, ujinga ujinga mtupu
Na jee ukiwa jobless na unataka kazi una apply VIP law of attractionHazikinzani. Law of attraction iko hivi una attract kile unacho kitaka kwa kufany a vitu ambavyo vitaki command kukufuata chenyewe. Kwa mfano if u want people to love u just love yourself first