MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Ndiyo ukweli wala sio uongo na ndiyo principles ambayo mie naitumiaMimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa.
" Kuonyedha Kutokuwa na uhitaji wa kitu chochote kile kwenye maisha Kuta kufanya kuwa na nguvu juu ya kila kitu kwenye maisha kwa sababu If you don't don't anything then u have everything, you don't need anything cause u have everything.
Hii ni sheria " Kanuni" ambayo haijaandikwa lakini Ina operate in a very eftective manner.
Ngoja nikupe mfano mmoja.
Last week nilienda kijijini kwetu Chanika kula Eid. Kesho nikiwa huko huko Chanika nilipita kwenye mtaa mmoja nikakuta tangazo kwenye fremu " Fremu inapangishwa", nikachukua namba then nikasogea zangu pale One Point kupata moja moto moja baridi.
So nikapiga simu: Aka pokea mwanamke nikamuulizia kuhusu fremu, akasema yupo busy kidogo nisubiri baada ya Dakika tano atanipigia .. Baada ya Dakika tano hakupiga. Nikapiga baada ya nusu saa hakupokea. Nikapiga tena baada ya dakika kumi akapokea nikamwambia nahitaji fremu akasema sawa baada ya dakika kumi atanipigia anipe bei na u taratibu. Baada ya dakika kumi hakupiga.. Nikapiga kama dakika 20 nikampigia hakupokea. Baada ya dakika 5 aka beep nikapiga nikamuuliza bei ya fremu akaniambia laki na nusu wanachukua miezi Sita. Nikamwambia laki na nusu mbona nyingi sana. Nikamwambia kwangu hiyo laki na nusu ni nyingi sana , fremu ni nahitaji sana na nilkuwa tayari kulipia hata Leo lakini kwa laki na nusu ni kubwa sana sintoweza Wacha nitafute scheme nyingine, akasema " Kwani wewe bajeti yako ni shilingi ngapi? " , nikakata simu.
Nilipokata simu akapiga siku pokea.
Akapiga kama Mara nne hivi sipokei.
Akatuma meseji " Maongezi yapo ndugu" Siku pokea.
Akapiga simu sana ya ni ndani ya masaa mawili ilikuwa kila baada ya dakika kadhaa anapiga simu.
Mwisho wa siku aka give up ila kesho yake asubuhi ambayo ni jana akapiga tena siku pokea.
Leo tena muda huu nipo zangu town kapiga nimekata naona hajapiga tena.
Have u seen what has happened?
Wakati ninaonyesha nina uhitaji alikuwa ananichukulia poa. Sio ko sa lake kwa sababu hivi ndivyo ulimwengu unavyo operate. Mpaka muda huo ye ye ndio alikuwa ana power kwa sababu alionyesha kwamba ye ye sio m uhitaji Hana shida na HeLa.
Ila alipogundua I am no longer interested ndio akaona umuhimu wangu, power Ika shift kutoka kwake kuja kwangu. Akaanza kuona power yangu ndio akaanza kuntafuta.
Hivyo ndivyo ulimwengu unavyo operate in everything and on every level kuanzia kwenye mapenzi, ndoa, mahusiano etc.
Usimuonyeshe mtu kwamba una uhitaji sana. Kwa sababu kwa kufanya hivyo utakuwa una give up all ur powers to them.
He who doesnt give a damn about the relationship in a relationship, holds all the power.
Get your money have your things. Never show anyone that u need them or ur desperate for them.
Thank me later.
Kweli,hii kitu umenifanya ni attract Attention za wanawake wengiMkuu Somo Zuri. Sanaa.. Umenifanya ni log in.. Hii power ina operate sana kwenye Mapenzi.. Ila kule tunaiita Attention...
Although some thought it was because am handsome, but that was half of. 🤏🤏
fikiria vizuri ishu ya Kariakoo Derby, Makolo waliandika barua kuwa hawachezi, ghafla wakawa very powerful hadi Bodi ya Ligi ikajichanganya kuahirisha mchezoVipi kuhusu Simba & Yanga wanahitaji ubingwa ila wasijioneshe wanauhitaji that is how the world operates
Mfano wako hauleti maana iliyokusudiwa na mtoa mada.fikiria vizuri ishu ya Kariakoo Derby, Makolo waliandika barua kuwa hawachezi, ghafla wakawa very powerful hadi Bodi ya Ligi ikajichanganya kuahirisha mchezo
Upande wa yanga wanaonekana desperate kuitaka Derby sasa ona mahangaiko yao, mara kupeleka basi Bunju, angalau walipoanza kuja na slogan ya HATUCHEZI power inawarudia kidogo kidogo
Zaburi ya 23Mbona kama ina kinzana na kanuni ya mvutano ,( law of attraction)?
Neno la biblia hapo lipo wapi dogo , vitu vingine vunga tuZaburi ya 23
Wewe ukisikia neno bible tu kichwa kinakuwaka moto
Nisamehe ndugu yanguNeno la biblia hapo lipo wapi dogo , vitu vingine vunga tu
Nina kisa km hiki ,umefanya vyemaMimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa.
" Kuonyedha Kutokuwa na uhitaji wa kitu chochote kile kwenye maisha Kuta kufanya kuwa na nguvu juu ya kila kitu kwenye maisha kwa sababu If you don't don't anything then u have everything, you don't need anything cause u have everything.
Hii ni sheria " Kanuni" ambayo haijaandikwa lakini Ina operate in a very eftective manner.
Ngoja nikupe mfano mmoja.
Last week nilienda kijijini kwetu Chanika kula Eid. Kesho nikiwa huko huko Chanika nilipita kwenye mtaa mmoja nikakuta tangazo kwenye fremu " Fremu inapangishwa", nikachukua namba then nikasogea zangu pale One Point kupata moja moto moja baridi.
So nikapiga simu: Aka pokea mwanamke nikamuulizia kuhusu fremu, akasema yupo busy kidogo nisubiri baada ya Dakika tano atanipigia .. Baada ya Dakika tano hakupiga. Nikapiga baada ya nusu saa hakupokea. Nikapiga tena baada ya dakika kumi akapokea nikamwambia nahitaji fremu akasema sawa baada ya dakika kumi atanipigia anipe bei na u taratibu. Baada ya dakika kumi hakupiga.. Nikapiga kama dakika 20 nikampigia hakupokea. Baada ya dakika 5 aka beep nikapiga nikamuuliza bei ya fremu akaniambia laki na nusu wanachukua miezi Sita. Nikamwambia laki na nusu mbona nyingi sana. Nikamwambia kwangu hiyo laki na nusu ni nyingi sana , fremu ni nahitaji sana na nilkuwa tayari kulipia hata Leo lakini kwa laki na nusu ni kubwa sana sintoweza Wacha nitafute scheme nyingine, akasema " Kwani wewe bajeti yako ni shilingi ngapi? " , nikakata simu.
Nilipokata simu akapiga siku pokea.
Akapiga kama Mara nne hivi sipokei.
Akatuma meseji " Maongezi yapo ndugu" Siku pokea.
Akapiga simu sana ya ni ndani ya masaa mawili ilikuwa kila baada ya dakika kadhaa anapiga simu.
Mwisho wa siku aka give up ila kesho yake asubuhi ambayo ni jana akapiga tena siku pokea.
Leo tena muda huu nipo zangu town kapiga nimekata naona hajapiga tena.
Have u seen what has happened?
Wakati ninaonyesha nina uhitaji alikuwa ananichukulia poa. Sio ko sa lake kwa sababu hivi ndivyo ulimwengu unavyo operate. Mpaka muda huo ye ye ndio alikuwa ana power kwa sababu alionyesha kwamba ye ye sio m uhitaji Hana shida na HeLa.
Ila alipogundua I am no longer interested ndio akaona umuhimu wangu, power Ika shift kutoka kwake kuja kwangu. Akaanza kuona power yangu ndio akaanza kuntafuta.
Hivyo ndivyo ulimwengu unavyo operate in everything and on every level kuanzia kwenye mapenzi, ndoa, mahusiano etc.
Usimuonyeshe mtu kwamba una uhitaji sana. Kwa sababu kwa kufanya hivyo utakuwa una give up all ur powers to them.
He who doesnt give a damn about the relationship in a relationship, holds all the power.
Get your money have your things. Never show anyone that u need them or ur desperate for them.
Thank me later.
Sometime when u ignore people u attract their attention. Ukimya wako unaweza kuwa attract more attention kuliko maneno yako. Mfano mwalimu yupo darasani ana fundisha wanafunzi anaongea, akinyamaza ghafla akastop kufundisha wanafunzi wote wata kaa kimya na ku concentrate.Kwa nini isikizane wakati hiyo uliyotaja ina ignore zaidi ya ku pay attention?
100% FactNo lie detected, It’s very relevant and practical.
I concur with you Mr Likud. 🙏🏽👊🏾
Tusome pia vitabu kama.
THE 48 LAWS OF POWER. By Robert Greene.
12 LAWS OF LIFE. By Robert Greene.
THE 5AM CLUB. By Robin Sharma.
THE RATIONAL MALE. By Rollo Tomasi.
Nk Vitatusaidia sana.
Usijali mkuuNisamehe ndugu yangu
Nachaji Simu kwanzaSimulia tujifunze