Kuonyeshwa mwenzi wa maisha ndotoni

Aya Tupe ushuhuda japo kidogo ilikuwaje mkafikia wapi na mpo wapi na huyo mke wako?
Siko kwenye ndoa bado....ila Hapo nyuma Kila mahusiano nliokua nayo nilikua naoneshwa ndotoni kuwa huyo mtu sio sahihi.... Kuna wale ambao niliwapenda na kuwaamini mno na walikua kama Malaika hao Mungu alikua ananionesha ndoto zinajirudia mpaka mara 7 nilioneshwa mpaka maisha nitakayoish endapo nikifunga ndoa Kuna mwingine nilioneshwa mpaka jina la mtu atakayeingia nae ndoan....now am single takriban miezi 7 nasubir sahihi Mungu alienichagulia
 
Duh hongera sana, natamani na mwanangu abahatike kama wewe apate mume sahihi kwakweli
 
Duh hongera sana, natamani na mwanangu abahatike kama wewe apate mume sahihi kwakweli
 
Duh aya sawa
 
Uko single, vp na mitikiso ume stop au ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…