Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Salimia familia.. mambo mengine mbele kwa mbele..Lock ya upupu iz killin my ribs 😂 😂😂 em nilale,, usiku mwema tajiri angu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salimia familia.. mambo mengine mbele kwa mbele..Lock ya upupu iz killin my ribs 😂 😂😂 em nilale,, usiku mwema tajiri angu
Aiseee!! Uhuru umezidi sana’a!! 😂😂😂Hii nchi na raia wake iuzwe, yani kitoto cha miaka tisa la tatu hapo unakiombea Mungu kikue vema kumbe chenyewe kinajiombea mme
Kwa dini yao hata mtume Muddy alioa binti wa miaka 9, hivo na yeye aliona ni sehemu ya mafundisho yao ktk QuranYani pale aliposema "niolewe n mwanaume mwema mwenye dina kila nikiswali' hii ilitosha kusoma na kumaliza alichoandika bila hata kusoma tena, kwa imani yake.
Aiseee.. Mi huko sijui saaana mkuu, ngoja tuwaachie wenyewe..Kwa dini yao hata mtume Muddy alioa binti wa miaka 9, hivo na yeye aliona ni sehemu ya mafundisho yao ktk Quran
Me nilikuw naambiw niombe hivyo.. Na wazee wangu mambo nimengi mbona wengine wanaomba kuingia peponi na wana miaka 4 inategemea na malezi tuuTunashukuru kwa kamba
Siko kwenye ndoa bado....ila Hapo nyuma Kila mahusiano nliokua nayo nilikua naoneshwa ndotoni kuwa huyo mtu sio sahihi.... Kuna wale ambao niliwapenda na kuwaamini mno na walikua kama Malaika hao Mungu alikua ananionesha ndoto zinajirudia mpaka mara 7 nilioneshwa mpaka maisha nitakayoish endapo nikifunga ndoa Kuna mwingine nilioneshwa mpaka jina la mtu atakayeingia nae ndoan....now am single takriban miezi 7 nasubir sahihi Mungu alienichaguliaAya Tupe ushuhuda japo kidogo ilikuwaje mkafikia wapi na mpo wapi na huyo mke wako?
Duh hongera sana, natamani na mwanangu abahatike kama wewe apate mume sahihi kwakweliNi kweli jaman wakat me Niko mdogo nilikuwa naomba niolewe na mwanaume mwema mwenye dini kila nikiswali " sasa kuna kipindi nikamuota mkaka mmoja mweusi half alikuw mkubwa sana kwangu nna simfaham pia"
nilkuw n miak9. Wakati huwo
Basi toka siku hiyo niliamin ndoto yangu n kweli yule nilie muona nd alie niowa yey34. Mimi20
Ni imani tuu.
Duh hongera sana, natamani na mwanangu abahatike kama wewe apate mume sahihi kwakweliNi kweli jaman wakat me Niko mdogo nilikuwa naomba niolewe na mwanaume mwema mwenye dini kila nikiswali " sasa kuna kipindi nikamuota mkaka mmoja mweusi half alikuw mkubwa sana kwangu nna simfaham pia"
nilkuw n miak9. Wakati huwo
Basi toka siku hiyo niliamin ndoto yangu n kweli yule nilie muona nd alie niowa yey34. Mimi20
Ni imani tuu.
Duh aya sawaSiko kwenye ndoa bado....ila Hapo nyuma Kila mahusiano nliokua nayo nilikua naoneshwa ndotoni kuwa huyo mtu sio sahihi.... Kuna wale ambao niliwapenda na kuwaamini mno na walikua kama Malaika hao Mungu alikua ananionesha ndoto zinajirudia mpaka mara 7 nilioneshwa mpaka maisha nitakayoish endapo nikifunga ndoa Kuna mwingine nilioneshwa mpaka jina la mtu atakayeingia nae ndoan....now am single takriban miezi 7 nasubir sahihi Mungu alienichagulia
Uko single, vp na mitikiso ume stop au ....Siko kwenye ndoa bado....ila Hapo nyuma Kila mahusiano nliokua nayo nilikua naoneshwa ndotoni kuwa huyo mtu sio sahihi.... Kuna wale ambao niliwapenda na kuwaamini mno na walikua kama Malaika hao Mungu alikua ananionesha ndoto zinajirudia mpaka mara 7 nilioneshwa mpaka maisha nitakayoish endapo nikifunga ndoa Kuna mwingine nilioneshwa mpaka jina la mtu atakayeingia nae ndoan....now am single takriban miezi 7 nasubir sahihi Mungu alienichagulia