Kuota umekula/unakula nywele au unajaribu kuivuta kutoka kinywani au katika chakula

Kuota umekula/unakula nywele au unajaribu kuivuta kutoka kinywani au katika chakula

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Bahati mimi huwa siamini katika uwepo wa nadharia ya uchawi ila tu Nina nguvu fulani ya maono kujua tafsiri ya kisaikolojia anayopitia mwotaji na maana ya ndoto yake..

Sasa ukiota unajaribu kuondokana na nywele na kuiondoa kwenye chakula au kinywa chako, lakini hukuweza kufanya hivyo, basi hii ina maana kwamba unakabiliwa na chuki kali kwa kila mtu karibu yako.

Kama nywele uliona kwa macho kabisa unaitoa mdomoni basi maana yake ukipunguza marafiki wabaya utaondokana na husuda zote ila ukiendelea kuwakumbatia marafiki wasio wema na uzuri ni kwamba unawajua wote wabaya zako ila tu Kwa sababu ya upendo wako kwa watu umemezea umeona uwasamehe.

Sasa usiishie kuwasamehe Bali wakimbie kabisa fanya kila linalowezekana kujitenga nao jifiche mbali nao kabisa.

Thread 'Umewahi kuota unakimbizwa na nyuki?' Umewahi kuota unakimbizwa na nyuki?
 
Ukiota meno y mbele nliotoaga enzi z utotoni nayakuta mfukoni kweny suluali nliovaa hii inakuwaje
 
Back
Top Bottom