Kuota unadumbukia kwenye shimo lisilo na mwisho maana ake n nini ??

Maana yake utatembea kwenye kipindi kirefu cha kulaani uhai wako... Utatamani kufa lakini hutokufa zaidi ya kukiona cha moto.
Uchumi utapigwa, afya ya mwili na akili, utatengwa na wengi huku wewe ukijitenga mwenyewe nk.... Njoo sasa kwa Yesu badala ya kudumbukia kwenye hayo yote utajikuta unavuka kirahiisi
 
Asee 🤔
 
Maskini! Ina maana katika maisha yako utakuwa unakutana na wanawake wenye mashimo mapana na marefu, wala hutakuwa na uwezo wa kugota kichwa kwenye kinena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…