Kuotea (Offside) Kwenye Mpira wa Miguu

Kuotea (Offside) Kwenye Mpira wa Miguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Nimepeleka barua FIFA kuwataka waondoe sheria ya Off-side kwenye mpira wa miguu ila kupunguza mzigo kwa washmabuliaji bali kuhamisha mzigo huo kwa walinzi. Offside imekuwa inatumiwa vibaya sana na timu nyingi. Mnaonaje wapenzi wa mpira wa miguu
 
Yaan tayari umepeleka barua FIFA, halafu unakuja kutuuliza kiongoz! Mbona Kama unakwama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeleta taarifa tu ujue maoni yangu niliyopeleka FIFA. Najua hawawezi kuamua mara moja na itabidi yajadiliwe na labda kufanyiwa majaribio kwa muda kama miaka miwili hivi kabla ya kutolewa uamuzi. Kuondoa off-side kutongeza utamu wa mpira sana.
 
Zilikua za akina pele izo mtu anafunga magoli mengi kama hana akili,

Offside iwepo kama kawaida
 
Wazungu wote huko Ulaya wanaelewa umuhimu wake sisi huku kajamba nani ni akina nani mpaka tupinge?
 
Kutoa offside ni kurudi nyuma. Wazungu wanaumiza vichwa mpaka wanaweka VAR ili kunasa hizo offside.
 
Back
Top Bottom