Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeleta taarifa tu ujue maoni yangu niliyopeleka FIFA. Najua hawawezi kuamua mara moja na itabidi yajadiliwe na labda kufanyiwa majaribio kwa muda kama miaka miwili hivi kabla ya kutolewa uamuzi. Kuondoa off-side kutongeza utamu wa mpira sana.Yaan tayari umepeleka barua FIFA, halafu unakuja kutuuliza kiongoz! Mbona Kama unakwama?
Sent using Jamii Forums mobile app