Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa bei kiasi kwamba wanashindwa kumudu gharama za chakula.
Mstahiki Meya wa London amekiri kuwa mfumko wa bei London ni mkubwa mno haujawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi iliyopita, akaongeza kuwa familia nyingi za waingereza zinashindwa kumudu kupata chakula chao cha siku na zinaenda kuteseka zaidi ktk kipindi cha Winter (December hadi February) kama serikali isipotafuta njia mbadala za kuzinusuru familia hizo.
Shikamoo Putin...Kila kona ya Ulaya umepeleza vilio...watu wanapambana na hali zaoπ€£π€£πππππππ
=====