Kupaa kwa usingizi nyakati za usiku

Kupaa kwa usingizi nyakati za usiku

samkul

New Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
1
Reaction score
3
Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.😴😴😴😴
 
Inakuwa ni zamu yako;

Kusali, kulinda usalama wa mnapoishi, kupanga mipango yako ambayo unakosa muda wa kuitafakari.

Kusoma kama ni mwanafunzi au unajisomea vitabu tuu n.k.

Ukifata mfumo wa kama sina njaa sili hata kama muda wa kula umefika, kama sina usingizi silali hata kama muda wa kulala umefika n.k. itakusaidia sana muda huo kufanya mambo mwngine endelevu.
 
Huenda stress.

Inanikutaga pia. Mara nyingi nastuka saa 8 au 9.

Ili kuepuka hilo mara nyingi naamua kulala kuanzia saa 6 usiku.
 
Inakuwa ni zamu yako;

Kusali, kulinda usalama wa mnapoishi, kupanga mipango yako ambayo unakosa muda wa kuitafakari.

Kusoma kama ni mwanafunzi au unajisomea vitabu tuu n.k.

Ukifata mfumo wa kama sina njaa sili hata kama muda wa kula umefika, kama sina usingizi silali hata kama muda wa kulala umefika n.k. itakusaidia sana muda huo kufanya mambo mwngine endelevu.
asante mkuu wapo wengi kuwaza kupindukia kukosa ufahamu wa kua shida sio zako pekee hapa duniani kukosa kumtizama alie chini yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwa ni zamu yako;

Kusali, kulinda usalama wa mnapoishi, kupanga mipango yako ambayo unakosa muda wa kuitafakari.

Kusoma kama ni mwanafunzi au unajisomea vitabu tuu n.k.

Ukifata mfumo wa kama sina njaa sili hata kama muda wa kula umefika, kama sina usingizi silali hata kama muda wa kulala umefika n.k. itakusaidia sana muda huo kufanya mambo mwngine endelevu.
Nitacoment ..... .ngoja nimalize kucheka kwanxa
 
Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.😴😴😴😴
Upungufu wa madini pesa mfukoni ni ugonjwa hatari kwa usingizi wako.
Mimi huamka saa kumi alfajiri kila siku tangu nikiwa mdogo
 
Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.😴😴😴😴
Inawezekana
a) Unalala mchana hivyo kuupunguza usingizi wako
b) Unalala mapema sana
c) Una jambo linakupa msongo wa mawazo, kwa kujua ana kutojua linakufanya uwe unawaza sana, jaribu kulitatua,
 
Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Usile chakula kizito
Usile ukashiba sana
Usiwahi sana kulala
Jioni fanya mazoezi hata mepesi tuu
Oga kabla ya kulala
Kwenye maji ya kuoga weka chumvi kidogo ya mawe na ukimaliza paka olive oil
Sali au swali kabla ya kupanda kitandani

Jr[emoji769]
 
Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.😴😴😴😴

Usile chakula kizito
Usile ukashiba sana
Usiwahi sana kulala
Jioni fanya mazoezi hata mepesi tuu
Oga kabla ya kulala
Kwenye maji ya kuoga weka chumvi kidogo ya mawe na ukimaliza paka olive oil
Sali au swali kabla ya kupanda kitandani

Jr[emoji769]

Labda hupati bia za kutosha kabla ya kwenda kulala.
 
Back
Top Bottom