Kupaa kwa usingizi nyakati za usiku

Kupaa kwa usingizi nyakati za usiku

Ni msongo wa mawazo tu, kuna mambo yanayokusumbua hujapata majibu yake.
 
Ni nini? kilichokuchekesha hapo sasa,hebu acha ushamba wa kitoto ludi kwa watoto wenzako huko facebook.nyie ndio mnaihari jamiiforums.
 
Inakuwa ni zamu yako;

Kusali, kulinda usalama wa mnapoishi, kupanga mipango yako ambayo unakosa muda wa kuitafakari.

Kusoma kama ni mwanafunzi au unajisomea vitabu tuu n.k.

Ukifata mfumo wa kama sina njaa sili hata kama muda wa kula umefika, kama sina usingizi silali hata kama muda wa kulala umefika n.k. itakusaidia sana muda huo kufanya mambo mwngine endelevu.
Na kusali pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom