Kupagawishana, kuchezeana na kuamsha mizuka kwenye simu

Pepo tokaaaa, shindwaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwisho niulizwe nimejifunzia wapiπŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
Kwenye semina ya ndoa kwa wanaume πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nakuhakikishia hakuna mwanamke asiyependa kuongeleshwa vizuri na kuonyeshwa anathaminiwa, si lazima kuvuka mipaka na kufanya tendo la ndoa kwa simu ila ukiwa mbali kuchombezana kuhusu kumkumbuka au kumtamani mkeo kunachangamsha hasa kwa ndoa za muda mrefu.
 
Hizi meseji wanandoa mnazipuuza Ila zimefanya nimpune mke wa mtu kimasihara.. endeleeni kujifanya hamna mudaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siyo poa, ila wanaume kujiambia kwamba wanawake hawana mahitaji ya kimwili hasa umri ukiwa umeenda kunaharibu sana mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…