eleven-eleven
Member
- Sep 9, 2024
- 6
- 8
Hahaha lini lissu akapigania watanzania hakuna mtanzania anapigania wenzake...eye anapigania kula yake apate madaraka aikomboe familia yake na mawazo yake yasimamie watanzania wote hana lolote la kupambania watanzania ila huwa kila mmoja kwa nafsi yake hujipambania mwenyewe ye na kizazi chake ..hata yeyote anapopata nafasi ya kuwa kiongozi either raisi au chef au dhamana yeyote na watu au serikali huwa kinachofanyika ni kuangalia mambo yake kwanza na si vinginevyoooHawa ndio Watanzania ambao Lissu anawapigania? 😂 Au tusubiri wengine?