Kupagawishana, kuchezeana na kuamsha mizuka kwenye simu

Hainiturn on kabisa yaani..... muda mwingine mpaka najiuliza nipo mzima kabisa mimi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Pole kipenzi, siyo lazima sana, kama mko pamoja muda mwingi basi haina haja.
 
Yani nichatishwe hadi nipoteze hisia za kuwa mikononi mwa mubaba, kufeel joto lake, mipapaso, kisses, kusikia sauti yake, kuchapwa na rungu lake.

Haijawahi kunitokea na haitowahi aiseeh!
 
Hiyo michezo ya kuchombezana kwa sms/call mpaka anasema ameloana chepechepe ilikuwa enzi hizo za barehe bado kichwa haijawa na mengi.
Baba Antipas, na siku hizi uwe unakumbushia mara moja moja jamani!
 
Haya mambo ni rahisi sana kama Hudaiwi madeni, watoto hawajarudishwa shule kisa Ada na Kama hujawahi mshika mwenza wako aki flirt na mtu mwingine. Nimeyafanya sana Kipindi nikiwa jobless na nikiwa sijaoa.
Ni kweli kabisa, ukiwa na stress au shida kwenye mahusiano yako, haya mambo ni ngumu sana kuyafanya.

Ila pia nimejifunza ndoa zina kupanda na kushuka, wakati mwingine mnaelewana vizuri na haya mambo yanawezekana na kuna vipindi ni kupigiana simu za majukumu tu, mwenzako akianza kuongea sana unaona anakukera tu.
 
Mtaalamu wa hizi kazi, kama kawaida yako, hupoi wala huboi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…