makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Siwezi kuliacha hili toto lenyewe linanikubali, akiongea kiingereza mie napiga kiinglish..Watakusumbua hawa..wana waA sanaa
Mabishano meeng..vingereza viing
Mi nataka demu ambae akil yake inajua kujipamba tu.na kunipikia..najua ntamzalisha mitoto mi4 hapo kwisha habar yake. Akili aniachie mim
Huwa wanajifanya wao kama wanaume..yaan anaish kama mwanaume kwenye mahusiano..atataka msaidiane kuosha vyombo kupika.etc..utamwambia nipasie nguo atakwambia bebi nawee leo si upasi...mama.e...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Madem smart wana stress sana.
Umekufa umeozaSiwezi kuliacha hili toto lenyewe linanikubali, akiongea kiingereza mie napiga kiinglish..
Kasalim amri.
Kujisemea njomba nchumali, ndani ya fire waist. .. Nyang'anyang'aUmekufa umeoza
Eti niache[emoji1787] Ngozi inahitaji disciplineSafi..mwanamke usafi bwana.mwanamke ni pambo..huwa napishana sana na shemej yenu huwa simuelew..yeye hata akitoka kuoga anapaka mafuta sasa namuuliza ndugu yangu unajiremba hata ukilala
Jibu lake analotoaga ni moja
(niache)
Huku kaubinua mdomo wake...kumbe ndo anapaka hayo madude...hiv unajiskiaje kupaka madude usiku..kusingekua na ubarid artificial sjui kama mtu unaweza kulala umejipaka vtu..sijui kwa wanawake
Ila hayana haruf yoyote hayo madude anapakaga..had uson..kuna siku nkamwambia ndugu yangu au unajikoboa/kujichubua....akasema (niache)
Bas nimeamua kumuacha..sasa leo ndo nmejua kumbe anapaka hayo makituu
Mna kaz nyie watu.....nachekaga tu anavolivua wigi lake nakubak na nywele fupi ajabu...sorry babe nmekunanga huku vbaya mno
Ungetuma na pisha ya kopoNinachanganya Palmers cocoa butter cream na lotion yake. Haya ninatumia siku 365 za mwaka iwe jua au mvua, joto au baridi.
Ungetuma na pisha ya kopo
usijali hujamnanga vibayaSafi..mwanamke usafi bwana.mwanamke ni pambo..huwa napishana sana na shemej yenu huwa simuelew..yeye hata akitoka kuoga anapaka mafuta sasa namuuliza ndugu yangu unajiremba hata ukilala
Jibu lake analotoaga ni moja
(niache)
Huku kaubinua mdomo wake...kumbe ndo anapaka hayo madude...hiv unajiskiaje kupaka madude usiku..kusingekua na ubarid artificial sjui kama mtu unaweza kulala umejipaka vtu..sijui kwa wanawake
Ila hayana haruf yoyote hayo madude anapakaga..had uson..kuna siku nkamwambia ndugu yangu au unajikoboa/kujichubua....akasema (niache)
Bas nimeamua kumuacha..sasa leo ndo nmejua kumbe anapaka hayo makituu
Mna kaz nyie watu.....nachekaga tu anavolivua wigi lake nakubak na nywele fupi ajabu...sorry babe nmekunanga huku vbaya mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa wanajifanya wao kama wanaume..yaan anaish kama mwanaume kwenye mahusiano..atataka msaidiane kuosha vyombo kupika.etc..utamwambia nipasie nguo atakwambia bebi nawee leo si upasi...mama.e...
Kumsaidia ni sawa ila madema smart wajuaj snaa...kuna m1 niliwai ishi nae. Yeye tukitoka job..hapik vtu vya kueleweka..unakuta anakaanga mayai hapo vi sausage viwil na mi tambi/spaghet
Wakat muda huo mi mdomo wangu unawaza nipate ugal flan mlain wamoto amazing na harage hiv na mboga mboga na kipande cha kuku flan na kachumbar..yeye analeta ujinga wa vyakula vya ajabu...ukimwambia.ooh nmechoka bwana..reasoning nyiiing mara ooh situmetoka kazin..bla bla bla