Kupaka moisturiser before going to bed

Kupaka moisturiser before going to bed

Status
Not open for further replies.
Watakusumbua hawa..wana waA sanaa

Mabishano meeng..vingereza viing

Mi nataka demu ambae akil yake inajua kujipamba tu.na kunipikia..najua ntamzalisha mitoto mi4 hapo kwisha habar yake. Akili aniachie mim
Siwezi kuliacha hili toto lenyewe linanikubali, akiongea kiingereza mie napiga kiinglish..

Kasalim amri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Madem smart wana stress sana.
Huwa wanajifanya wao kama wanaume..yaan anaish kama mwanaume kwenye mahusiano..atataka msaidiane kuosha vyombo kupika.etc..utamwambia nipasie nguo atakwambia bebi nawee leo si upasi...mama.e...

Kumsaidia ni sawa ila madema smart wajuaj snaa...kuna m1 niliwai ishi nae. Yeye tukitoka job..hapik vtu vya kueleweka..unakuta anakaanga mayai hapo vi sausage viwil na mi tambi/spaghet

Wakat muda huo mi mdomo wangu unawaza nipate ugal flan mlain wamoto amazing na harage hiv na mboga mboga na kipande cha kuku flan na kachumbar..yeye analeta ujinga wa vyakula vya ajabu...ukimwambia.ooh nmechoka bwana..reasoning nyiiing mara ooh situmetoka kazin..bla bla bla
 
Safi..mwanamke usafi bwana.mwanamke ni pambo..huwa napishana sana na shemej yenu huwa simuelew..yeye hata akitoka kuoga anapaka mafuta sasa namuuliza ndugu yangu unajiremba hata ukilala

Jibu lake analotoaga ni moja
(niache)

Huku kaubinua mdomo wake...kumbe ndo anapaka hayo madude...hiv unajiskiaje kupaka madude usiku..kusingekua na ubarid artificial sjui kama mtu unaweza kulala umejipaka vtu..sijui kwa wanawake

Ila hayana haruf yoyote hayo madude anapakaga..had uson..kuna siku nkamwambia ndugu yangu au unajikoboa/kujichubua....akasema (niache)

Bas nimeamua kumuacha..sasa leo ndo nmejua kumbe anapaka hayo makituu

Mna kaz nyie watu.....nachekaga tu anavolivua wigi lake nakubak na nywele fupi ajabu...sorry babe nmekunanga huku vbaya mno
Eti niache[emoji1787] Ngozi inahitaji discipline
 
Ungetuma na pisha ya kopo
1623269514703.jpeg
 
Safi..mwanamke usafi bwana.mwanamke ni pambo..huwa napishana sana na shemej yenu huwa simuelew..yeye hata akitoka kuoga anapaka mafuta sasa namuuliza ndugu yangu unajiremba hata ukilala

Jibu lake analotoaga ni moja
(niache)

Huku kaubinua mdomo wake...kumbe ndo anapaka hayo madude...hiv unajiskiaje kupaka madude usiku..kusingekua na ubarid artificial sjui kama mtu unaweza kulala umejipaka vtu..sijui kwa wanawake

Ila hayana haruf yoyote hayo madude anapakaga..had uson..kuna siku nkamwambia ndugu yangu au unajikoboa/kujichubua....akasema (niache)

Bas nimeamua kumuacha..sasa leo ndo nmejua kumbe anapaka hayo makituu

Mna kaz nyie watu.....nachekaga tu anavolivua wigi lake nakubak na nywele fupi ajabu...sorry babe nmekunanga huku vbaya mno
usijali hujamnanga vibaya
 
Huwa wanajifanya wao kama wanaume..yaan anaish kama mwanaume kwenye mahusiano..atataka msaidiane kuosha vyombo kupika.etc..utamwambia nipasie nguo atakwambia bebi nawee leo si upasi...mama.e...

Kumsaidia ni sawa ila madema smart wajuaj snaa...kuna m1 niliwai ishi nae. Yeye tukitoka job..hapik vtu vya kueleweka..unakuta anakaanga mayai hapo vi sausage viwil na mi tambi/spaghet

Wakat muda huo mi mdomo wangu unawaza nipate ugal flan mlain wamoto amazing na harage hiv na mboga mboga na kipande cha kuku flan na kachumbar..yeye analeta ujinga wa vyakula vya ajabu...ukimwambia.ooh nmechoka bwana..reasoning nyiiing mara ooh situmetoka kazin..bla bla bla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom