playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Kavuliwa na mtu mwenye matatizo ya akili wala sishangai..mtu gani hapatani na CAG,MASELE,MAKONDA hao wote CCM wenzake je upinzani?Tundu lisu avuliwa rasmi ubunge wake.
Ametamani likes na commentHebu kuwa serious basi
Alichoandika kina uhalisia wa 0.0000001%Ametamani likes na comment
Bora hata angekuwa anaandikia msalani, Huyu ni lazima atakuwa aliandikia CHOONI tu hii thread!!!Hiki Ni kichekesho ambacho akijapata kutokea Tanzania duh eeh bwana umetoa Kali za mwaka.Hiv kwanini we jamaa unapenda kuandika pumba Sana hiv unakuaga unaandika wakati upo msalani Nini?
Naona the way WCB na "MWENYEKITI WAO" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni KUTOA NGOMA ZAID YA 3 WAKATI KIBA akiwa katoa NGOMA hii TAFSIRI YAKE NI KWAMBA NGOMA 1 YA KIBA NI SAWA NA NGOMA 3 za DIAMOND jumlisha na watoto wake..na ndo maana utaona bado mtaani kuna upinzani wa DIAMOND vs KIBA au WCB vs KINGS though kuna watu kila kukicha wanaachia nyimbo...now asq ur self IF DIAMOND ATAKUWA ANATOA NGOMA MOJA KWA MWAKA KAMA KIBA AU KIBA AWE anaachia NGOMA ZAID YA 3 in short period of time unadhan HALI YA DIAMOND au WCB itakuwaje?...
Swali zuri Sana umemuulizaKwani Ali kiba bado anaimba ?
Mtoa mada atakuwa ametokea milembe mvumilie tu si kosa lake bali kosa Ni la ubongo wake.Maji na mafuta vinafananishwa
Yaani huyu mtoa mada sijawakuona hata siku moja kaongea point inaonekana tatizo si lake Ni la ubongo wake ila dada yangu Leo mtoa mada katoa kichekesho Cha mwaka kwa keep.Hebu kuwa serious basi
Apambane naye kivipi hahahaha bwege kweli kiba level yake ni lavalava sio diamond wala harmonizeNaona the way WCB na "MWENYEKITI WAO" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni KUTOA NGOMA ZAID YA 3 WAKATI KIBA akiwa katoa NGOMA hii TAFSIRI YAKE NI KWAMBA NGOMA 1 YA KIBA NI SAWA NA NGOMA 3 za DIAMOND jumlisha na watoto wake..na ndo maana utaona bado mtaani kuna upinzani wa DIAMOND vs KIBA au WCB vs KINGS though kuna watu kila kukicha wanaachia nyimbo...now asq ur self IF DIAMOND ATAKUWA ANATOA NGOMA MOJA KWA MWAKA KAMA KIBA AU KIBA AWE anaachia NGOMA ZAID YA 3 in short period of time unadhan HALI YA DIAMOND au WCB itakuwaje?...