Kupambana na Kiba "The King" ni ngumu na gharama sana

Kupambana na Kiba "The King" ni ngumu na gharama sana

playboy babu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
2,648
Reaction score
1,566
Naona the way WCB na "mwenyekiti wao" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni kutoa ngoma zaidi ya 3 wakati Kiba akiwa katoa ngoma hii tafsiri yake ni kwamba ngoma 1 ya kiba ni sawa na ngoma 3 za Diamond jumlisha na watoto wake.

Na ndo maana utaona bado mtaani kuna upinzani wa Diamond vs Kiba au WCB vs KINGS though kuna watu kila kukicha wanaachia nyimbo.

Now asq ur self if diamond atakuwa anatoa ngoma moja kwa mwaka kama kiba au Kiba awe anaachia ngoma zaid ya 3 in short period of time unadhan hali ya DIAMOND au WCB itakuwaje?.
 
Hivi KIBA alishawahi kuwa KING wa bongo flava ??...
Sikumbuki ni lini kabla ya promo za rockstar na Clouds ambazo lengo lake lipo wazi.

punguzeni kumforce kuchukua title asiyoiweza maana mnampa tabu mswahili wa watu.
 
Naona the way WCB na "MWENYEKITI WAO" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni KUTOA NGOMA ZAID YA 3 WAKATI KIBA akiwa katoa NGOMA hii TAFSIRI YAKE NI KWAMBA NGOMA 1 YA KIBA NI SAWA NA NGOMA 3 za DIAMOND jumlisha na watoto wake..na ndo maana utaona bado mtaani kuna upinzani wa DIAMOND vs KIBA au WCB vs KINGS though kuna watu kila kukicha wanaachia nyimbo...now asq ur self IF DIAMOND ATAKUWA ANATOA NGOMA MOJA KWA MWAKA KAMA KIBA AU KIBA AWE anaachia NGOMA ZAID YA 3 in short period of time unadhan HALI YA DIAMOND au WCB itakuwaje?...

Ndugu zako wanafahamu kuhusu afya ya ubongo wako ?

Wasipochukua hatua mapema utaishia kuipigia kura CCM kwenye chaguzi zijazo.
 
Naona the way WCB na "MWENYEKITI WAO" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni KUTOA NGOMA ZAID YA 3 WAKATI KIBA akiwa katoa NGOMA hii TAFSIRI YAKE NI KWAMBA NGOMA 1 YA KIBA NI SAWA NA NGOMA 3 za DIAMOND jumlisha na watoto wake..na ndo maana utaona bado mtaani kuna upinzani wa DIAMOND vs KIBA au WCB vs KINGS though kuna watu kila kukicha wanaachia nyimbo...now asq ur self IF DIAMOND ATAKUWA ANATOA NGOMA MOJA KWA MWAKA KAMA KIBA AU KIBA AWE anaachia NGOMA ZAID YA 3 in short period of time unadhan HALI YA DIAMOND au WCB itakuwaje?...
Apambane naye kivipi hahahaha bwege kweli kiba level yake ni lavalava sio diamond wala harmonize
 
Back
Top Bottom