Nimesema hajawahi vunja records Wala kuacha legacy yoyote katika muziki wake hivyo, anaitwa KING kwa ajili ya nini ??.....
Unapomuita mtu Kama Jaydee Ni all time queen wa bongo flava bila Shaka utakuwa na mengi ya kuongelea, ukimuita Vanessa Ni malkia wa muziki wa Afrika mashariki kwa Sasa utakuwa na mengi ya kutetea pia.. yaani hata ukisema Saut Sol Ni group Bora la muziki east Africa pia
Ukisema Michael Jackson Ni king of pop bhasi utamwagika Sana ila je, Kiba Ni King kwa sababu zipi ???....
Ukijiuliza haya na kupata majibu yake sahihi utakuwa ushafunguka kiakili mkuu