Kupambana na Kiba "The King" ni ngumu na gharama sana

Shukrani kwa kukubali post yangu mkuu ila isome kwa kuelewa.

Mimi nimekuzwa na bongo flava kwa kiasi kikubwa hivyo Ni muziki ninaoulewa. Comment yangu ilizungumzia upande wa WCB na sio kiba. Huwa nazungumza bila mahaba na huu ndio ukweli mpya nakupa.

KIBA HAJAWAHI KUWA KING WA BONGO FLAVA . Kiba alikuwa Ni muendelezo wa bongo flava ya mapenzi aliyoileta zaid MB DOG, Kipindi Kiba anavuma kulikuwa na marlaw pia ambaye alimuhenyesha vibaya Sana yaani sio kwenye countdown za media station, tuzo Wala power of vocals. Kiba ana sauti nzuri lakini sio powerful Kama ya marlaw ila showbiz ya clouds na rock star ndio zikamuangukia kiba.

Kiba hana legacy Wala hajawahi kuvunja records. Muangalie kiba wa kabla na baada ya Rockstar utaelewa. Kama una uwezo wa kuelewa lakini
Legacy inawekwa kwa kuvunja records tu?...hahahaaa hapo umekosea kidogi mkuu nachojua legacy inawekwa kwa kumbukizi ya yale yoooote ulofanya...mfano umeona umemtaja MB DOG thats legacy brah.
 
Na bado mtateseka sana, mpaka mtakapoacha kumfananisha Mond na mambo ya kijinga
Yeye mwwnyewe anamuwaza KING mara amtaje kwenye nyimbo mara afanye nn we hujiulizi why not jux or ben pol?..
 
Kwani Z Anton alianza kuimba lini? Matonya jee? PNC? Wapo wapi sasa hivi?

Sasa hivi hauwezi kumzungumzia kiba bila kuihysisha WCB kwa sababu ndio wanao mbust. Ndio maana hata Uzi wako umeshindwa kumwongelea yeye kama yeye bila WCB
Wapi uliona hata nyny mnazungumzia domo bila KIBA?...coz mnajua nan anawanyima usingizi akifanya A mtasema kiba hawez au kiba yake ipo wap and thats since day 1...KING hawezekaniki bra
 
Legacy inawekwa kwa kuvunja records tu?...hahahaaa hapo umekosea kidogi mkuu nachojua legacy inawekwa kwa kumbukizi ya yale yoooote ulofanya...mfano umeona umemtaja MB DOG thats legacy brah.
Nimesema hajawahi vunja records Wala kuacha legacy yoyote katika muziki wake hivyo, anaitwa KING kwa ajili ya nini ??.....

Unapomuita mtu Kama Jaydee Ni all time queen wa bongo flava bila Shaka utakuwa na mengi ya kuongelea, ukimuita Vanessa Ni malkia wa muziki wa Afrika mashariki kwa Sasa utakuwa na mengi ya kutetea pia.. yaani hata ukisema Saut Sol Ni group Bora la muziki east Africa pia

Ukisema Michael Jackson Ni king of pop bhasi utamwagika Sana ila je, Kiba Ni King kwa sababu zipi ???....

Ukijiuliza haya na kupata majibu yake sahihi utakuwa ushafunguka kiakili mkuu
 
Naoma unazunguka tu mkuu..samahani lakini
 
Naona the way WCB na "mwenyekiti wao" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni kutoa ngoma zaidi ya 3 wakati Kiba akiwa katoa ngoma hii tafsiri yake ni kwamba ngoma 1 ya kiba ni sawa na ngoma 3 za Diamond jumlisha na watoto wake.

Na ndo maana utaona bado mtaani kuna upinzani wa Diamond vs Kiba au WCB vs KINGS though kuna watu kila kukicha wanaachia nyimbo.

Now asq ur self if diamond atakuwa anatoa ngoma moja kwa mwaka kama kiba au Kiba awe anaachia ngoma zaid ya 3 in short period of time unadhan hali ya DIAMOND au WCB itakuwaje?.
Nadhani hii itakuwa sarcasm eeh?![emoji23][emoji23][emoji2959]
 
Diamond anashindana na kivuli chake hakuna wa kumfikia kwa sasa labda huko mbeleni
 
Naona the way WCB na "mwenyekiti wao" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni kutoa ngoma zaidi ya 3 wakati Kiba akiwa katoa ngoma hii tafsiri yake ni kwamba ngoma 1 ya kiba ni sawa na ngoma 3 za Diamond jumlisha na watoto wake.

Na ndo maana utaona bado mtaani kuna upinzani wa Diamond vs Kiba au WCB vs KINGS though kuna watu kila kukicha wanaachia nyimbo.

Now asq ur self if diamond atakuwa anatoa ngoma moja kwa mwaka kama kiba au Kiba awe anaachia ngoma zaid ya 3 in short period of time unadhan hali ya DIAMOND au WCB itakuwaje?.
Wewe utakuwa ndio kiba,kuandika huu uozo inahitaji ujitoe akili kweli kweli
 
...
Fujo%20za%20_Kanyaga_%20huko%20%40itunes.se%20-Kenya%2C%20No1%20on%20spot.%20%20Lakini%20huyu...jpeg
 
Naona the way WCB na "mwenyekiti wao" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni kutoa ngoma zaidi ya 3 wakati Kiba akiwa katoa ngoma hii tafsiri yake ni kwamba ngoma 1 ya kiba ni sawa na ngoma 3 za Diamond jumlisha na watoto wake.

Na ndo maana utaona bado mtaani kuna upinzani wa Diamond vs Kiba au WCB vs KINGS though kuna watu kila kukicha wanaachia nyimbo.

Now asq ur self if diamond atakuwa anatoa ngoma moja kwa mwaka kama kiba au Kiba awe anaachia ngoma zaid ya 3 in short period of time unadhan hali ya DIAMOND au WCB itakuwaje?.
look what drug just drugs in
 
Back
Top Bottom