mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
- Thread starter
-
- #21
jaribu machinga complex, kuna mzee mmoja alikuwa anatengeneza.
Jana nimenunua sado ya nyanya 14,000 na vitunguu nusu sado kwa 7,500.
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wengi watakubishia wakisema vikikaushwa hukosa virutubisho.
Waroho watakuambia sio tamu.
Kuna jamaa Mmoja US hununua Apples wakati bei ni ya kutupwa. Anablend anapaki kwenye jars na hanunui tena mwaka mzima hadi msimu ujao.
Elimu hii isisitizwe kuanzia shuleni
haweki mkuu, ninayemzungumzia ni mpinzani wa hizo preseratives.Unadhani hizo apples hua haweki preservations ili zisiharibike mwaka mzima?
dodge
Jinsi ya kukausha vitunguu tafadhali😶Kwa kuongezea pia unaweza kukausha mbogamboga kipindi cha mavuno na kuweka kwenye container ukatumia kwa mwaka. Waweza kukausha nyanya, vitunguu, tangawizi, tembele, majani ya kunde, n.k
masister huwa wako vizuri sana kwenye hizo elimu.Nyanya Ni headache kwa kweli
Nyanya moja 500🙌🙌
Nakumbuka in my O-level school Kuna sister mmoja alikua anadeal na maswala ya kilimo nyanya zikivunwa Basi anazichemsha zote zinasagika(kuiva) then zinahifadhiwa kwenye machupa ya glass...zile nyanya zilikua zinatumika throughout the kipindi nyanya zinapokua adimu kwa ajili ya upishi shuleni
kwetu tatu Buku, wengine hawauzi kabisa. na za kawaida sana.Mtaani kwangu nyanya ni 300 moja hadi 400, vile vidogoo ni 200,
Yaani balaa tupu. Ngoja niendelee kula chapati na soda
Mnooo yanii huyu sister kwenye hii sector alikua kiboko yanii kanisa lake la pili ni shambani.masister huwa wako vizuri sana kwenye hizo elimu.
ktk hilo eneo nawakubali sana
Yani ni balaa....magenge mengi yamefungwa coz bidhaa kubwa Ni nyanya na nyanya zimenyanyalika😂😂kwetu tatu Buku, wengine hawauzi kabisa. na za kawaida sana.
haweki mkuu, ninayemzungumzia ni mpinzani wa hizo preseratives.
Zinawekwa tu kwa fridge nadhani zinagandishwa kwa muda mrefu na kutolewa kwa wakati zinapohitajika.
jamaa anasema amekuwa anafanya hivyo miaka yote bila athari yoyote
sijajua.Daah sawa mkuu,na taste yake itaendelea kua vile vile chief?
Maana mimi ndizi mbivu zikikaa kwny friji siku 3 tu,taste yake naona imepotea tayari.
dodge
thanks for the tag jamani.!CC: Carleen ukuje huku,
Upate somo, kachumbari na mihogo kila weekend.
Nyanya za kachumbari unachuma toka ktk garden yako ya makopo.
Ahsante mkuujaribu machinga complex, kuna mzee mmoja alikuwa anatengeneza.
Hili jengo nyuma ya uwanja wa Karume, floor kama ya tatu hivi baada ya mafundi computer.
Hata kama hayupo, unaweza kupata ABCD za kuanzia.
Blended apple kweli!! Au kwa mahitaji ya juice?Wengi watakubishia wakisema vikikaushwa hukosa virutubisho.
Waroho watakuambia sio tamu.
Kuna jamaa Mmoja US hununua Apples wakati bei ni ya kutupwa. Anablend anapaki kwenye jars na hanunui tena mwaka mzima hadi msimu ujao.
Elimu hii isisitizwe kuanzia shuleni
tupe somo,nyanya unakaushaje.tangawiz piaKwa kuongezea pia unaweza kukausha mbogamboga kipindi cha mavuno na kuweka kwenye container ukatumia kwa mwaka. Waweza kukausha nyanya, vitunguu, tangawizi, tembele, majani ya kunde, n.k