Kupanda ghafla kwa bei ya nyanya na mbogamboga iwe funzo kwetu

Wengi watakubishia wakisema vikikaushwa hukosa virutubisho.

Waroho watakuambia sio tamu.

Kuna jamaa Mmoja US hununua Apples wakati bei ni ya kutupwa. Anablend anapaki kwenye jars na hanunui tena mwaka mzima hadi msimu ujao.

Elimu hii isisitizwe kuanzia shuleni

Unadhani hizo apples hua haweki preservations ili zisiharibike mwaka mzima?

dodge
 
haweki mkuu, ninayemzungumzia ni mpinzani wa hizo preseratives.
Zinawekwa tu kwa fridge nadhani zinagandishwa kwa muda mrefu na kutolewa kwa wakati zinapohitajika.
jamaa anasema amekuwa anafanya hivyo miaka yote bila athari yoyote
 
Nyanya Ni headache kwa kweli
Nyanya moja 500🙌🙌

Nakumbuka in my O-level school Kuna sister mmoja alikua anadeal na maswala ya kilimo nyanya zikivunwa Basi anazichemsha zote zinasagika(kuiva) then zinahifadhiwa kwenye machupa ya glass...zile nyanya zilikua zinatumika throughout the kipindi nyanya zinapokua adimu kwa ajili ya upishi shuleni
 
Kwa kuongezea pia unaweza kukausha mbogamboga kipindi cha mavuno na kuweka kwenye container ukatumia kwa mwaka. Waweza kukausha nyanya, vitunguu, tangawizi, tembele, majani ya kunde, n.k
Jinsi ya kukausha vitunguu tafadhali😶
 
Nyanya Ni headache kwa kweli
Nyanya moja 500🙌🙌

Nakumbuka in my O-level school Kuna sister mmoja alikua anadeal na maswala ya kilimo nyanya zikivunwa Basi anazichemsha zote zinasagika(kuiva) then zinahifadhiwa kwenye machupa ya glass...zile nyanya zilikua zinatumika throughout the kipindi nyanya zinapokua adimu kwa ajili ya upishi shuleni
masister huwa wako vizuri sana kwenye hizo elimu.
ktk hilo eneo nawakubali sana
 
haweki mkuu, ninayemzungumzia ni mpinzani wa hizo preseratives.
Zinawekwa tu kwa fridge nadhani zinagandishwa kwa muda mrefu na kutolewa kwa wakati zinapohitajika.
jamaa anasema amekuwa anafanya hivyo miaka yote bila athari yoyote

Daah sawa mkuu,na taste yake itaendelea kua vile vile chief?

Maana mimi ndizi mbivu zikikaa kwny friji siku 3 tu,taste yake naona imepotea tayari.

sijajua.
Ila anaweka katika vichupa sealed ule ujiuji baada ya kublend. Ila anasema kila kitu kinabaki vilevile.
nadhani inahitajika elimu pia, na inategemea aina ya unachotaka kuhifadhi.
 
CC: Carleen ukuje huku,
Upate somo, kachumbari na mihogo kila weekend.
Nyanya za kachumbari unachuma toka ktk garden yako ya makopo.
thanks for the tag jamani.!
Nyumbani tuna makopo ya maua mengi yamezunguka nyumba nzima, huwa najiskia fahari to take care of it.!

Pia tuna bustani za mboga mboga.! I love that greeny, I miss home.! 😢
 
Wengi watakubishia wakisema vikikaushwa hukosa virutubisho.

Waroho watakuambia sio tamu.

Kuna jamaa Mmoja US hununua Apples wakati bei ni ya kutupwa. Anablend anapaki kwenye jars na hanunui tena mwaka mzima hadi msimu ujao.

Elimu hii isisitizwe kuanzia shuleni
Blended apple kweli!! Au kwa mahitaji ya juice?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio mambo tunayopigia kelele kila siku juu ya mitaala ya elimu kulingana na dunia pamoja na mazingira..

Mazingira yetu yana vingi vya kufundisha watoto wetu kwenye level ya msingi ili tuweze kupamabana nayo..
 
Kwa kuongezea pia unaweza kukausha mbogamboga kipindi cha mavuno na kuweka kwenye container ukatumia kwa mwaka. Waweza kukausha nyanya, vitunguu, tangawizi, tembele, majani ya kunde, n.k
tupe somo,nyanya unakaushaje.tangawiz pia
 
Back
Top Bottom