Kupanda ghafla kwa bei ya nyanya na mbogamboga iwe funzo kwetu

Kupanda ghafla kwa bei ya nyanya na mbogamboga iwe funzo kwetu

View attachment 1348747
Hicho ni kikaushio cha kutumia mwanga wa jua. Nyanya inakatwa slices na kupangwa kwenye tray halafu inawekwa kwenye kikaushio kama hicho. Nanunua kipindi creti ni elfu 5, naanika kama creti 3 napata ndoo nzima ya nyanya kavu. Mwaka mzima hakuna kununua nyanya.

Naomba picha ya nyanya iliokaushwa kwa karibu nione
Hicho kikaushio kinapatikana wapi
 
Mnooo yanii huyu sister kwenye hii sector alikua kiboko yanii kanisa lake la pili ni shambani.
Na hii mbinu natumia Sana kupreserve nyanya zikiwa nyingi.

Unaweka kwenye deep freezer au nini
 
Yeeey....

We go for the weekend...

We go for the weekend...

We = Kasie and Rogie.... Wuuuhuuuuuu

Am reeady you know am ready....
To go there.... to go there...
Forever...heey Mr. Man....

Come and pick me at 5 O'Clock..

K Matata.

Yeeees....... the jaunt is here.


The clock is ticking.......see you in 34.


I have shared two locations....choose one....


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Yeeees....... the jaunt is here.


The clock is ticking.......see you in 34.


I have shared two locations....choose one....


Sent from my iPhone using Tapatalk

You are a good friend indeed...

I appreciate your hospitality...
 
Kwani lazima kula nyanya...

Tafuteni njia mbadala za upishi zisizohitaji nyanya, sio lazima kila siku mamichuzi chuzi tu
 
Bei ya nyanya iko juu. Mtaani kwetu wameacha kabisa kuuza.

Wakina mama wapika mihogo nimeona sehemu wanatumia matango kama nyanya Ktk kachumbari.

Leo nimeshangaa pia eti bamia moja inauzwa 100 mtaani.
Vitunguu na mbogamboga poa ziko juu.

Sababu
Nimefuatilia sababu wanasema mvua zilizozidi ndio chanzo.

Utatuzi wa kudumu na ushauri

Ule utamaduni wa kupanda maua majumbani ubadilishwe Kwa kupanda mbogamboga.

Mfano ukipanda kaeneo kadogo matembere yatastawi hata ukimwagilia maji ya sabuni.

Panda mbogamboga, nyanya, Vitunguu, karoti Ktk makopo.


Hii itasaidia kupunguza gharama ndogondogo zinazoepukika.

Mkeo, housegirl, ndugu unaoishi nao, watoto wako au wewe mwenyewe badala ya kufanya jogging gym, au barabarani, au kuangalia movies kuhudumia bustani ya nyumbani hata nusu saa ni zoezi tosha Kwa wenye Muda.
Endelea kushangaa.
 
Juzi nimepanda majani ya maboga na mchai chai, kabla ya hapo nilipanda mualovera na kisamvu.
Mualovera na kisamvu umestawi balaaa sijawahi kuchuma maana naona uvivu kutwanga ila majirani sasa naona wanafaidi tu kisamvu nami kuwaambia mkitwanga mniletee naona kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nimepanda majani ya maboga na mchai chai, kabla ya hapo nilipanda mualovera na kisamvu.
Mualovera na kisamvu umestawi balaaa sijawahi kuchuma maana naona uvivu kutwanga ila majirani sasa naona wanafaidi tu kisamvu nami kuwaambia mkitwanga mniletee naona kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Machaichai hapa home ndio center. Hadi dogo amekariri kila asubuhi utasikia anaiga "hodiii, naomba namba chaichai".

Majirani Karibu wote, huja kuomba daily, na matembere pia na Bamia Mara mojamoja.
 
Back
Top Bottom